Search results

  1. soskeneth

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Mbona imesha rekebishwa muda tuu mkuu mwambie apitie kifungu cha 126 cha sheria ya ndoa imetoa exceptions katika mazingira gan yataangaliwa either kwa mama au baba ku custody mtoto even if yuko chin ya miaka 7 asome pamoja 125 ya sheria tajwa hapo juu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. soskeneth

    Bosi wangu kanipa mkataba wa kazi ambao ni kinyume na makubaliano halisi ya kazi

    Hatariiii umeyapata wap haya maelezo?? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. soskeneth

    Msaada: Nimeandika barua ya kuacha kazi naambiwa natakiwa nimlipe mwajiri

    Kwanza nimsifu aliye kujibu ,,amekujib majibu mazur Sana, Sheria ya ajira na mahusiano kazini inasema HV mfanykaz kam ataach kaz ndan ya masaa 24 anawajibika kuaacha mshahar ah kumlipa mshahar mwajiri wake.. Sababu kubwa ikiwa kuwa ww ndo uliyeacha kaz na hujampa taarif ya siku 28 kuwa unatak...
  4. soskeneth

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    Ila saiz vyama imekuwa kama sehem ya kula tu weng ni wapiga madili tu
  5. soskeneth

    Mtumishi wa Umma anaweza kusimamishwa kazi kwa kesi ya Jinai ambayo haikufika Makahamani?

    Ni Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) COMMISSION OF MEDIATION AND ARBITRATION
  6. soskeneth

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    Why ??,vyama vya wafanyakaz n ulinzi ndugu,mfano kuna Chama cha wafanyakaz kinaitwa TUICO hiki Chama ni special aisee hawana Shida hawa
  7. soskeneth

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    Ndo hvyo mkubwa Na kingine c unajua wanaogopa kile kifungu cha 19 cha ELRA NO.6/2004 NA pia kuna vyama vingi sana almost 13 Ambavyo viko under TUCTA Huu mchezo wanao CWT,TALGWU NA TUGHE hvi vyama vina obtain members wao pindi tu wanapopata ajira serikalin huu ni uonevu
  8. soskeneth

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    Uko right lakin ndo tumeshajijengea wenyew hvyo Na ndo maana waliokuta utaratibu wanaufuata hivyohvyo Mm naona labda Kwa kumsadia afanye hivyo ulivyo mwelekez au aende Kwa katibu wa mkoa wa sehem aliyopo wa CWT I hope atasaidiwa
  9. soskeneth

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    Sikiliza mkubwa hao utaratibu wao ni unakuwa automatic member wa CWT ilimrad tu kama ni mwalimu Na umekuwa employed Na serikali no way to run mkuu,,, nisikikilize kama hajajaza form wenda tu mistake imefanyika but hao badaye wanaletewa form wajaze baada tu kuingizwa kwenye makato hayo ya...
  10. soskeneth

    NIFANYE NINI ILI CWT WASIENDELEE KUNIKATA?

    Sasa mkuu hujui umuhimu wa vyama vya wafanyakazi??? Why useme walimu wanaonewa??? What I know ni kwamba CWT,TUGHE,TALGWU wanachama wao pindi tu ukiajiliwa unakatwa kwenye hivyo kimoja wapo Na baadaye huwa wwnawaletea form ambayo mwanzo ilikuw form no 6 but inaitwa form no 15 So usiwambie...
  11. soskeneth

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Tafuta adblocker inafanya kaz bila hata ya cm kuwa rooted
  12. soskeneth

    UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

    Mkuu utakufa huko rudi Bongo pointi mzigo then unarud mabondeni na mzigo wako
  13. soskeneth

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mungu saidia Yanga yetu
  14. soskeneth

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Thanxs a lot
Back
Top Bottom