Search results

  1. Dr. Msafiri

    Pendekezo kwa Bunge kuaandaa Public Order Act 2017

    Baadhi ya Nchi (haswa 'zilizoendelea') zilipiga marufuku uvaaji wa sare za vyama vya siasa kwa madhumuni ya kujenga na kuendeleza utaifa na utengemano wa wananchi haswa baada ya michakato ya uchaguzi! Kwa hiyo nchi hizo zilitunga sheria ya kukataza "political uniforms"! Kwa hatua taifa...
  2. Dr. Msafiri

    Katiba itakayokubalika kupigiwa kura ya maoni

    Taifa sasa linapitia hatua zinazothibitisha umuhimu wa kuwa na Katiba imara! Katiba nzuri itakayotengenezwa na kuridhiwa na wananchi wengi na kisha ikatumika ipasavyo itasaidia kurekebisha kasoro nyingi zinazotajwa maeneo mengi kwenye mihimili ya dola yetu. Aombwe Jaji Warioba azipitie Katiba...
  3. Dr. Msafiri

    LUKU - VAT 18% + EWURA 1% + REA 3% = 22%. i.e. 22% of the money you want to buy electricity is tax

    LUKU - VAT 18% + EWURA 1% + REA 3% = 22%. i.e. 22% of the money you want to buy electricity it doesn't! Whatever you you call it, this is taxation to the extent of 22%! One can't claim our electricity is cheap!
  4. Dr. Msafiri

    Proposed The Public Order Act 2016

    Baadhi ya Nchi (haswa 'zilizoendelea') zilipiga marufuku uvaaji wa sare za vyama vya siasa kwa madhumuni ya kujenga na kuendeleza utaifa na utengemano wa wananchi haswa baada ya michakato ya uchaguzi! Kwa hiyo nchi hizo zilitunga sheria ya kukataza "political uniforms"! Kwa hatua taifa...
  5. Dr. Msafiri

    Jiji la Dar es Salaam lianzishe TV

    Kwa ajili ya kutekeleza shughuli zake kwa ufanisi, JIJI lianzishe TV ili kuelimisha, kujulisha, kuhimiza na kushirikisha wakazi wake mipango / sheria / taratibu za jiji kwa lengo la kuliboresha!
  6. Dr. Msafiri

    Tanganyika ni yetu wote!

    Hili taifa ni letu sote. Isikubaliwe mtu au kikundi cho chote cha watu (nadni na nje ya nchi) kuendesha au kushawishi mambo ya kitaifa kana kwamba ni lao peke yao!:yawn:
Back
Top Bottom