Katiba itakayokubalika kupigiwa kura ya maoni

Dr. Msafiri

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
471
154
Taifa sasa linapitia hatua zinazothibitisha umuhimu wa kuwa na Katiba imara!
Katiba nzuri itakayotengenezwa na kuridhiwa na wananchi wengi na kisha ikatumika ipasavyo itasaidia kurekebisha kasoro nyingi zinazotajwa maeneo mengi kwenye mihimili ya dola yetu.
Aombwe Jaji Warioba azipitie Katiba zote (ile tume yake iliyoandaa & ile ya BMK) ili kuandaa nyingine chotara ya hizo itakayokubalika kupigiwa kura ya maoni!
 
Hakuna sheria iliyoruhusu BMK kutunga katiba! Tume ya Warioba ndio ilipewa jukumu la kukusanya maoni ya wananchi na kuandika katiba hiyo chotara unayozungumzia ni haramu kisheria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom