Search results

  1. vidudi

    Mrejesho: Amesomea mineral processing anatafuta kazi

    Ndugu wana JF, Poleni kwa majukumu na hongereni kwa kuendelea na majukumu hayo. Kipindi kama cha mwezi mmoja hivi niliwahi kuleta ombi na kuhitaji msaada kwa dada yangu ambae alikuwa anahitaji nafasi ya kazi katika maeneo ya migodi au viwandani kutokana na taaluma yake aliyoipata. Kwa...
  2. vidudi

    Mashine za juisi ya miwa

    Poleni kwa mihangaiko ya kutafuta Riziki. Nahitaji mashine ya kutengeneza juisi ya miwa kwa gharama nafuu.
  3. vidudi

    Uhakiki wa vyeti bado unaendelea?

    Wana JF, Naomba kuuliza vipi zoezi la uhakiki linavyoendelea kufanyika hapa nchini lina matokeo gani? Kuna wafanyakazi hewa vipi hao wanachukuliwa? Kuna wenye vyeti original lakini si vyao nao vipi wao hujulikana? Vipi unafanyika uhakiki kwa watumishi wa sekta za ulinzi (JWTZ, polisi, na...
  4. vidudi

    Amesomea mineral processing anatafuta kazi

    Wana JF nina dada yangu kasoma diploma ya Mineral processing lakini bado anasota2 kitaa kutafuta sehemu hata ya kupata pesa ya sabuni. Tokea amalize chuo ni muda km wa miaka miwili sasa. hivyo msaada kwenu kwa yeyote mwenye mgodi, kiwanda,au kumfahamu mtu mwenye uhitaji wa hiyo nafasi ya kazi...
  5. vidudi

    Msaada: Wanaoijua Bandari college DSM

    Jamani naombeni msaada wenu, kwa mweyekujua jinsi ya kupata joining instruction ya chuo cha Bandari Dar es Salaam au kama umesoma hapo, au kuna mtu unamjua anasoma hapo msaada plz.
  6. vidudi

    Msaada chuo cha bandari Dar es salaam

    Wana JF Naomba kupata Details za kutosha kuhusu chuo cha bandari Dsm, kuanzia ada zake,E-mail yake hostel, mazingira yake, mahali kilipo na ubora wa kozi zake. samahani km nitawakwaza ila nahitaji msaada kwa hayo na mengineyo mengi ambayo mtu anayajua kuhusu chuo hiko.
  7. vidudi

    Huu ni nini jamani???

    Wana JF nimekutana na in box message kwenye e-mail yangu kuwa ni upload my certificate qualification,na pale kwenye lile jina la huyo sender katumia NACTE lakini google account yenyewe inadai kutomtambua huyo mtumaji km kweli ni Nacte, na tatizo la profile wote twalijua kingine kilichonishangaza...
  8. vidudi

    Mwenye kukifahamu chuo cha afya ngudu

    Habari zenu wana JF naomba kuulizia hiki chuo kipo mkoa gani na kina sifa gani kitaaluma na mazingira? mwenye uzoefu na hili msaada tafadhali
  9. vidudi

    Mwenye mshine ya Popcorn ya kutumia GESI

    Habari zenu wana JF. Natafuta mtu mwenye mashine ya kutengeneza POPCORN inayotumia gesi iwe used au mpya ila isiwe mbovu na ya gharama nafuu. pia natafuta mashine ya kutengeneza Ice crem iwe yenye umbo dogo na gharama nafuu ikiwa used pia sawa. Tuwasiliane kupitia 0653273420/0682580560
  10. vidudi

    Mwenye PopCorn Mashine

    Nahitaji mashine ya popcorn iwe ndogo au saizi ya kati kwa gharama nafuu iwe used au mpya isiwe mbovu wala kubwa sana. Tuwasiliane kwa namba 0682580560/0653273420
  11. vidudi

    Msaada Kipimo gani huonesha magonjwa mengi au yote mwilini

    Habari zenu wana JF naomba msaada wa kujua ni kipimo gani huweza kupata majibu kwa magonjwa tofautitofauti mwilini kwa kutumia damu. Hii ni kwa sababu nasumbuliwa na maumivu makali ya mgongo kwa muda mrefu sasa hali inayopelekea mwili wote kuwa na joto kali pia viungo huchoka sana na maumivu...
Back
Top Bottom