Search results

  1. mgangawaukoo

    Huyu baba jamani! Ametumia dakika kumi 'kwichikwichi' anakoroma kama mkimbizi

    Ndiyo hapo utagundua hawa viumbe ni zaidi ya nyoka!
  2. mgangawaukoo

    Ubabaishaji wa malipo kwa mafundi ujenzi jengo hapo chuo kikuu cha Dar es Salaam

    Na hili swala linakera sana, ndiyo mana mimi nashanga viongozi kuimba ujinga mambo ya viwanda wakati hata vilivyopo vinatoa ajira za kimagumashi!! Hiyo wizara ya kazi na ajira wala sijuhi wanachofanyaga nini!
  3. mgangawaukoo

    GITARAMA: Jehenamu duniani!

    Maelezo hayajajitosheleza!
  4. mgangawaukoo

    Serikali ilitazame hili la Gwajima kwa ukaribu

    Ndiyo mana mtu anayesali kwa hawa watu wanaojidai walokole huwa namfikiria anaupungufu flani katika kuwaza na wengi biblia hawaisomi wanaenda kukaririshwa tu kila aina ya maneno ya ajabu ajabu!
  5. mgangawaukoo

    Kanisa la Catholiki Kimara kubomolewa

    Alafu watu wanashangaa kwanini Tanesco inakosa hela, wakati kila kitu wanakodisha!
  6. mgangawaukoo

    Haya Maisha Haya.....

    Na maturubai ya kufunika vitz!
  7. mgangawaukoo

    Wanawake wa Dar kutovaa nguo ya ndani ni joto au kuna kitu wanatangaza?

    Wewe ukiona mke anapewa overtime za kutosha, jua tu kuna anayejimegea huko, Maisha ya ndoa na mke anayefanya kazi yanahitaji uvumilivu sana, alaf weekend ndiyo unakuta kavaa ile nguo ambayo kwa harakaharaka aileti usumbufu!
  8. mgangawaukoo

    Mara paap 2020, Mtumishi wa umma kura yako utampa nani?

    Hata msipopiga wembe ni ule ule!
  9. mgangawaukoo

    Wanawake wa Dar kutovaa nguo ya ndani ni joto au kuna kitu wanatangaza?

    Hujuh kuwa ofic nyingi huwa zinageuka gest kwa muda!
  10. mgangawaukoo

    Video: Binti wa Odinga ahusika kwenye maandamano

    Kwa kizazi cha kuanzia 80 hadi sasa tunanizamu za uwoga ila kuna mambo yasipo badilika hichi kizazi tunachokiacha sisi kitakuwa ni hatari kuliko tunavyofikiri!
  11. mgangawaukoo

    Namkubali sana mrembo Amber Lulu

    Tafuta hela acha mawazo mgando, Kuna wengine wapo vijijini ni wazuri kuliko huyo ni hela za kuwatunza tu!
  12. mgangawaukoo

    KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

    Huyu anahitaji kushughulikiwa sasa huwa anafurahia wakenya wakiuana!
  13. mgangawaukoo

    Pedi za kufua

    Chupi zao tu huwa wanazionea kinyaa ndiyo itakuwa kufua ped, Labda watawanunulia wafanyakazi wao wa ndani!,
  14. mgangawaukoo

    Mchumba Search

    Ungekuwa unataka wa kijijini ungeenda kijijin hapa wapo watumia savanna na wine, Watakuja tu wasubiri!
  15. mgangawaukoo

    Mchumba Search

    Kwa hiyo mikwara ya nje ya nchi utawapata wengi sana!
  16. mgangawaukoo

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Jaribu kunipa uhakikishe kwanza kabla ya tiba!
  17. mgangawaukoo

    Msaada: Nina Millioni 10 itatosha kujenga nyumba?

    Kiwanja unacho, isikute unawazo la kujenga huku kiwanja huna?
Back
Top Bottom