Search results

  1. Path Finder

    Msaada: Kwa wadau wa Ujenzi na Wajenzi

    Wadau nahitaji vifaa kwa ajili ya kufanya wiring kwenye ka-ujenzi kangu (nyumba) ambavyo ni 'genuine and high quality'. Kwa mwenye taarifa wapi nitavipata, tafadhali nijuze, ikiwezekana na bei zake. JF hakuna kinachoshindikana!!!!
  2. Path Finder

    Msaada wenu pls! Wapi nitapata cd za kujifunzia masomo mbalimbali hasa lugha ya Kiingereza

    Wana bodi, tafadhali nijuzeni wapi (kwa hapa Tanzania) nitapata cd (audio & video) kwa ajili ya watoto kujifunza mambo mbalimbali ya kitaaluma ikiwemo lugha ya Kiingereza, masomo ya sayansi n.k. Nakaribisha mwongozo wenu.
  3. Path Finder

    Ni kweli kuwa Katiba Mpya ndio kila kitu?

    Karibu kila jambo linalotokea tunakimbilia kusema suluhu ni katiba mpya! Je ni kweli kwamba katiba mpya pekee inaweza kutukomboa na matatizo tuliyo nayo wa TZ?
Back
Top Bottom