Search results

  1. T

    Ubadhirifu na Ufisadi wa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha sasa ni Bayana

    Jumba la Mkuu wa Chuo Dkt Richard Masika analojenga Njiro Arusha Viwanja vitatu vya Richard Masika vilivyopo USA- Arusha Sasa habari ya ubadhirifu na ufisadi wa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha Dkt Richard Masika si kitu cha kuficha wala siri tena. Picha alizopiga na kutuma kwa rafiki zake...
  2. T

    Ulafi wa Mkuu wa Chuo cha ufundi Arusha na hatima ya elimu inayotolewa na chuo

    Si jambo la siri au kificho kwamba kuna ufisadi mkubwa, tena wa kutisha uliofanywa na unaoendelea kufanywa na Mkuu wa chuo cha Ufundi Arusha. Mtu anaweza kushangaa au kuuliza kwanini Mkuu wa Chuo na siyo Menejimenti ya Chuo? Ukweli ni kwamba ni kama vile Chuo hakina Menejimenti kwa sababu Mkuu...
  3. T

    Ufisadi uliokithiri Chuo cha Ufundi Arusha

    Kwa zaidi ya miaka mitano sasa CHUO CHA UFUNDI ARUSHA kimeandikwa mara kwa mara na vyombo mbalimbali vya habari pamoja na mitandao ya kijamii. Sababu ya chuo hiki kuandikwa mara kwa mara kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni ufisadi ulioshamiri katika chuo hiki. Makamo wa Rais Mh...
  4. T

    Wanaolalamikiwa Bodi ya chuo cha ufundi Arusha hawa hapa

    Hawa ni wajumbe wa Bodi ya chuo cha Ufundi Arusha ambayo imelalamikiwa sana kwamba ilifumbia macho au nayo ilikuwa sehemu ya ufisadi mwingi uliofanywa na menejimenti ya chuo. Kuanzia kulia ni: Lyne Ukio, Karoli Njau, Hyacintha Makileo, Benedict Lema, Thomas Katebalirwe, Suzan Mosha na Christian...
  5. T

    Tanzia: Aliyewahi kuwa M/kiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha Afariki Dunia

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha Bwana Abrahamu Nyanda aliyemaliza muda wake hivi karibuni amefariki jana akiwa kwenye matibabu Hospitali ya Rufaa Muhimbili. Marehemu Nyanda alitumika katika nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo tangu Aprili 2009 mpaka Desemba 2015...
  6. T

    Wanaotegemea kupata kazi chuo cha ufundi Arusha ni hawa

    Ndugu wadau, Amani iwe kwenu. Nachukua nafasi hii kuipongeza Serikali ya JPM kwa juhudi zake za dhati kupigana na ufisadi katika ofisi za umma na utumishi wa umma kwa ujumla. Wananchi wameonyeshwa kuridhishwa sana na juhudi hizi na sisi watanzania tunawaunga mkono. Tunapozungumza ufisadi , ni...
  7. T

    Ufisadi wa Ngono Chuo cha Ufundi Arusha

    Nilikuwa sifahamu rushwa ya ngono ni kitu gani. Lakini hatimaye nimefahamu kwamba, kumbe rushwa ya ngono ni pale ambapo mwanamke anatoa mwili wake ili kupata manufaa fulani (kupata kazi, kupandishwa cheo, upendeleo wa kupelekwa masomoni nk.). Yanayofanyika mpaka jamii inaona kuna haja ya...
  8. T

    Wananchi Arusha wanaunga mkono hatua ya Rais Magufuli kutumbua majipu hadharani

    Anachokifanya Mheshimiwa Rais ni kitendo cha kiunguana kabisa wanasema wananchi wa Arusha. Rais akitumbua jipu haina maana kwamba mtuhumiwa ameshafukuzwa kazi, ila mtuhumiwa atapisha uchunguzi na kama uchunguzi utabaini kwamba mtuhumiwa hakuwa jipu basi mhusika ni mfanyakazi safi na atarudishwa...
Back
Top Bottom