Search results

  1. N

    DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  2. N

    Tetesi: Wajipanga kuitetea Acacia Mining Bunge la bajeti

    Habari za ndani kutoka hapa Dodoma ni kuwa kuna kundi la wabunge wapatao 10 wamewekwa sawa na mwekezaji wa nje, Acacia Mining Plc, ili waitetee kampuni hiyo kwenye sakata la mchanga wa dhahabu dhidi ya serikali. Wabunge hao 6 wa CCM na 4 wa upinzani wamepewa kila mmoja dola za Marekani elfu...
  3. N

    Lowassa afuata upako kwa 'Nabii' wa Nigeria

    Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu mwaka 2008 kwa kashfa kubwa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, ametuma ujumbe wa watu wawili waende Nijeria kukutana na Pastor TemitopeBalogun Joshua a.k.a. Prophet T.B. Joshua ambaye 'alimtabiria' Mbunge Beatrice Shellukindo kuwa Lowassa atakuwa Rais wa...
  4. N

    Bajeti ya Kenya yaizidi ya Tanzania kwa $5 billion

    Kenya, inayonyimwa misaada na wafadhili na kusumbuliwa na matatizo ya ukabila, bado inaendelea kusonga mbele kimaendeleo kwa kasi kufananisha na Tanzania yenye amani tele na inayopewa misaada lukuki na wafadhili. Je, tumelogwa Watanzania? Tatizo letu ni nini?
  5. N

    Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

    Kuna tetesi kuwa Saed Kubenea, mhariri mkuu na mmiliki wa gazeti pendwa la MwanaHALISI naye ni miongoni mwa waandishi wa habari walionunuliwa na Rostam Aziz, Edward Lowassa na Andrew Chenge kwenye mkakati wa kuzuia mafisadi hawa wasifutwe uanachama wa CCM. Tetesi ziliopo ni kuwa Kubenea kapewa...
  6. N

    Tuhuma za uongo dhidi ya PPF, wana JF tuache kukurupuka

    Kumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya JF kuwa inawachafua watu binafsi, taasisi na vyama vya siasa kutokana na tuhuma za uongo. Mzee Mwanakijiji ndiye aliyeanzisha tuhuma za uongo humu JF kuwa kuna ufisadi ndani ya PPF. Sidhani kama alikuwa ana nia mbaya, tatizo ni kuwa kuna ignorance...
Back
Top Bottom