Juzi jumamosi nilkuwa nimepaki gari hospitali ya mkoa sehemu husika pale nje
Wakati natoka nikakuta nimewekewa chuma na agent wa Tarura (Ngare) kwa madai gari inadondosha maji ya AC na fine ni shilingi 60,000 ,I was shocked on this, kwa ufahamu wangu nilidhani ni mafuta (diesel+oil) wao wana...
Wananchi walipwe stahiki zao zipi unafahamu zile nyumba zinamilikiwa na nani? Lile ni eneo la AICC na mmliki ana haki ya kufanyia chochote lile eneo acheni siasa na ushabiki tsio na tija
Halafu kuna sub-heading eti MMOJA ANAMHARIBIA MWENZAKE kati ya Jk and Zito cjaelewa This means who is distructing who?
Something big is coming 4 sure I sense!
Kila EL anapogain power Zito comes out with backout picture it!
basicaly 4 tha tym being nlikuwa napenda sana especialy mornin o way 2 ofce but kwa sasa MATANGAZO yamezidi kila baada ya 3mnts tangazo 4 sure it real booring on my side
kama ni operation cost mbona wengine kama kiss wana-manage withn 15 to 30 mnts then comercials?
Apart 4rom that...
Firstly Hatudanganyiki
watu wapo kuwasafisha watu
2ndly Wanatafuta umaarufu kutoka kwa vijana especialy vyuoni
3rd Jiulize kwa nini wasemaji ni wale kutoka Arusha malisa na chatanda?
4th Swala la bodi lishughulikiwe kitaalam siyo kiisiasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.