Ingia udemy chukua coz ambayo iko recommended (from the bestseller) tena kwa msimu huu kuelekea sikukuu bei za coz zitashuka.
Huko jifunze mambo muhimu na kuweka msingi mzuri mf: issue za protocols, data transfer and packet flow, network security, etc. Fanya ivo, then tafuta past pepers za...
mkuu unaonekana ni mvivu sana, ivo vitu ambavyo unauliza na kusubir comments za watu ndo ujue nin chakufanya ni vitu basics sana. Ingia google au youtube na utajifunza zaid ya hayo
Nenda udemy, hutojutia....there is everything you want. Course nyingi za hacking (from udemy) zinatoa pia virtual labs for practicals. Hutaishia tu kusoma theory kama ilivyo kwa youtube tutorials bali utapractice pia, hands-on
Habarini wakuu..
Kwa mwenye uelewa juu ya hiyo kitu naomba msaada tafadhari..
- ina-cover nini(coverage yake chuon au curriculum yake)
- soko lake la ajira tz likoje
-vip kuhusu uhusiano wa technology yetu na coz hii(does it have conducive environment in tz?)
Please say something..!!
Shukran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.