Ndugu zangu,
Serikali ya Tanzania kulipwa fidia na benki ya Standard ya uingereza kutokana na rushwa iliyogubika mkopo wa dola miloni 600 mwaka 2013.
Sakata hili tulishuhudia aliyewahi kuwa Kamishina Mkuu wa TRA Harry Kitilya na wenzie watatu wakienda lupango.
Ikumbukwe Zitto Kabwe...
Ndugu zangu,
Leo siku ya jumanne tarehe 10.05.2022 Ndugu Januari Makamba, Waziri wa Nishati akiwa bungeni ametangaza uamuzi wa serikali kutoa ruzuku ya takribani bilioni 100 za kitanzania.
Nikirejea uamuzi wa Waziri Makamba miezi michache iliyopita wa kuondoa tozo ya shilingi 100 kwenye mafuta...
Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje...
Ndugu zangu,
Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.
Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini...
Amani iwe kwenu,
Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi.
Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta...
Waungwana,
Hadi sasa kuna fukuto, tangu Mbowe asamehewe na Rais Samia kutoka jela hawana maelewano na Lissu. Kuna watu ndani ya Chadema mioyoni mwao walitamani Mbowe asitoke jela.
Muda unatuambia sasa.
Awali, hapa JF kulikuwa na hii thread - Kiongozi wa chama haelewani na yule kiongozi...
Waungwana,
Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya.
Hadi sasa mambo yako vilevile na hakuna dalili ya mabadiliko.
Je, Mbowe ataendelea kugomea ruzuku hata baada ya kutoka jela?
Fatuma Karume ambaye enzi za serikali ya awamu ya tano (5) alitambulika kama "shangazi" miongoni mwa wafuasi wa Chadema sasa hivi ni dhahiri kajitenga na Chadema.
Siku hizi huwezi kukuta wafuasi wa Chadema wakisambaza "tweets" zake au yeye "shangazi akiungana na wafuasi wa Chadema kutetea "hoja...
Ndugu zangu,
Miezi ya hivi karibuni Waziri Makamba alitembelea nchi za ghuba zinazoongoza kwa uzalishaji wa mafuta ulimwenguni.Baada ya kurejea alituhakikishia kuwa mwezi Disemba mwaka huu mafuta yatashuka bei kwani kafaniiiwa kuwashawishi wazalishaji ili Tanzania kupitia TPDC inunue mafuta...
Ndugu zangu,
Kwa maslahi mapana ya Taifa na chama changu ninaona kuna mambo hayajakaa sawa. Idara yetu ya mambo ya nje na wasaidizi wa Ikulu wanafurahia posho za safari na vikao lakini hawampi taarifa sahihi Rais Samia.
Diplomasia yetu sasa inakwenda kutengeneza ajira kwa wakenya na watanzania...
Ndugu zangu,
Jenerali Twaha Ulimwengu alipata kuwa viongozi wa TANU youth league (UVCCM) ya sasa na kupitia CCM alipata teuzi mbalimbali.
Nimkumbushe tu kwa umri wake kupiga picha na viongozi wa vyama rafiki na CCM ni kawaida sana. Na hata sasa kwa viongozi wa CCM na serikali kupiga picha na...
Ndugu zangu wanaJF!
Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au fulana kwani tulizomewa na baadhi waliambulia vipigo.Siasa za manispaa na majiji makubwa zilitekwa na...
Ndugu zangu,
Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.
Uungwana ni vitendo, upendo huanzia nyumbani. Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili...
Ndugu zangu,
Saikolojia unasema "ukiona mtu anazungumzia jambo lililomponyoka mara kwa mara ujue bado analitamani" kwa mfano mtu kaachwa lakini kuwa kucha badala ya kufanya kazi nyingine anafatilia maisha ya mtu aliyemwacha ujue suala limemuuma.
Profesa Mussa Assad alipoondolewa "u-CAG"...
Ndugu zangu,
Kwa hakika "Pandora papers" ni kama pigo kwenye mshono (surgery) baada ya kipigo cha BBI dhidi ya Uhuru Kenyatta na washirika wake.
Mwanasiasa atakayejihusisha na kambi ya Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa Kenya mwaka 2022 ni dhahiri atapata tabu kutoka kwa "hustlers" wakiongozwa...
Ndugu yangu January,
Pamoja na mengi yaliyosemwa ila kuna mgongano mkubwa wa maslahi kati ya MD mpya wa TANESCO Ndg.Chande na Mjumbe wa bodi Ndg.Zawadia Nanyaro.
Hawa wawili ni wakurugenzi wa bodi Benki ya DCB, Chande akiwa Mwenyekiti na Nanyaro akiwa Makamu Mwenyekiti.
Huku TANESCO, Chande...
Ndugu zangu,
Kuna hujuma za dhahiri sasa baadhi ya wakuu wa mikoa wanataka kufanya ili kujenga taswira hasi dhidi ya Rais Samia kwenye suala la wamachinga.
Tuseme ukweli mwaka 2015 umaarufu wa CCM ulikuwa shakani baada ya historia mbaya kunyanyasa wamachinga leo tunarudi kulekule.Tulilazumika...
Ndugu zangu,
Siku zinaenda kasi,kuna kila dalili "wenye Chadema yao kuichukua" huenda Mbowe akabaki au akaondoka lakini "watakaochukua" chama hawatakuwa na hulka hizi za "kimagharibi".Watakuwa jeuri,wenye kuipenda nchi yao,wakipambana kutumia watu waliopo kuiletea nchi yao maendeleo.
Bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.