Search results

  1. M

    Huduma za afya bure kwa u5 na wajawazito.

    Serikali ya ccm na wabunge wake wamekuwa wakiwatangazia wananchi eti huduma za afya kwa watoto chini ya m5,wajawazito na wazee matokeo yake wanakuja na kukuta huduma hazipo, matokeo yake manesi na madaktari wanabaki kutukanwa eti hawatoi huduma nzuri, mara nyingi madaktari wanawaandikia wagonjwa...
  2. M

    Baada ya bili ya umeme sasa ushuru wa mkaa

    Hi JF, Serikali baada ya kupandisha bill ya umeme kwa 18% sasa nimeona wizara ya maliasili imetangaza kuchukua ushuru kwa watumiaji wa mkaa. Tangazo ambalo limetolewa kupitia star tv kuwa watakatisha ushuru kwa watumiaji wa mkaa wote hata kama ni wa kutumia nyumbani kama utakuwa hujakatia...
Back
Top Bottom