Search results

  1. jun bao

    Msaada pes 2017

    Me ninayo hapa GB 10 nichek 0653 303002
  2. jun bao

    Msaada laptop inanisumbua

    Ckia keanza kabisa toa betri na charge hapo, alafu uwanze kujaribu kitu kimoja kimoja 1 chomeka charge kwanza kwenye laptop ikiwa hakuna betri uwangalie kuwa charge yako kuwa inatisha moto au kuchaji vizuri Ukishaliza hapo sasa unakwenda hatua ya pili 2 hatua ya pili ni kweka betri kwenye...
  3. jun bao

    Naombeni msaada jinsi ya kufanya drivers update za PC

    Acha nayo iyo my pc, kwanza kabisa tafuta drive park solution iyo ni software ya driver zote za computer zote. Ikikataa utadownload driver official za laptop yako kwenye site zao
  4. jun bao

    Msaada: Modem unlock code

    Ni huawei ?
  5. jun bao

    Iphone 6s+ icloud unlock ~Mwenye uwezo wa kuitoa anisaidie tafadhali

    Ume restor iyo ? Kama bado nichek ila kama tayari hapo siwezi toa
  6. jun bao

    Jinsi ya kucheza PES16 pc game ONLINE

    Ndio iyo ya pc ndio inatoka full.maana demo tayali imeshatoka kwa ps3,sp4 na xbox
  7. jun bao

    Jinsi ya kucheza PES16 pc game ONLINE

    Haya haya walevwapenzi wa pes 2017 karibia inatoka hapa
  8. jun bao

    Series (Special thread)

    Yupo t beg tena anapeleka ujumbe kwa bro wake Michael kuwa yuko hai
  9. jun bao

    Series (Special thread)

    Me hapa inaitwa dc
  10. jun bao

    Jinsi ya kucheza PES16 pc game ONLINE

    Year uwezi ni crack, wanonaweza kucheza online ni ps3,ps4 na xbox
  11. jun bao

    Tetesi: Kufungiwa kwa Torrentz

    Me mbna hapa naendelea kama kawaida kudownload
  12. jun bao

    Tetesi: Kufungiwa kwa Torrentz

    Me kuna software natumi hapa nakula bata mwendo wa kudownload full
  13. jun bao

    Watumiaji wa Iphone mambo ya kufahamu

    Punguza brightness kwenye simu 2. Zima WiFi / Bluetooth / Data pale unakuwa huitumii 3. Tumia vibration pale inapohitajika. 4. Tumia Airplane Mode ukiwa sehemu isiyo na network reception 5. Funga applications ambazo huzitumii.
  14. jun bao

    Series (Special thread)

    Mpka mwezi wa tisa
  15. jun bao

    Unlocking your 4G modem now

    Nice one wacha nipitie iyo
  16. jun bao

    Must see Movies

    year imeshatoka tayari me ninayo hapa copy ya 720 hd
  17. jun bao

    Internet ya Airtel na Voda kwenye Modems mbona hovyoo?

    now tumia hallotel ndio mpango mzima mikoani
  18. jun bao

    Kickass Torrent imefungiwa na Marekani

    ok fine nikupata ila me ninayo hapa now huwa natumia
  19. jun bao

    Natafuta series ya Empire na The 100

    Being mary jane Banshee Blacklist Breaking bad Atlantis Dallas Dexter Flash forward Game of thone Gang related Graceland House of card If loving your is wrong Kyle xy Legend of seaker Mr robot Narcos Ncis Power Salem Shuga Suit Single ladies Super girl The 100 The haves and...
  20. jun bao

    Series (Special thread)

    Haya wapenzi wa hizi series zimetoka mwendelezo wake
Back
Top Bottom