Search results

  1. M

    Receiver aina ya TIGER E11 ULTRA

    Jamani naomba msaada kwa mwenye uelewa juu ya hii dekoda manake nimeambiwa inakamata sport24 sasa nimehangaika mpaka basi lakini hamna mafanikio. Mwenye uelew juu ya kuipata sport24 kwenye aina hii ya receicer
  2. M

    Ilichokiamua serikali juu ya ajira mpya

    SERIKALI YAKANUSHA KUHUSU KUANZA KUTOA AJIRA NA KUPANDISHA MSHAHARA SERIKALI YAKANUSHA KUHUSU KUANZA KUTOA AJIRA NA KUPANDISHA MSHAHARA | Tanzania Sec School
  3. M

    Tazama majina yaliyotolewa na TCU kwa waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu

    Vyuo Vilivyotoa Selection (machaguo) Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 Vyuo Vilivyotoa Selection (machaguo) Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 | Tanzania Sec School
  4. M

    Jaribu kuwa-follow ao waeza ambulia kitu

    Check out tanzania sec school (@TanzaniaSec): tanzania sec school (@TanzaniaSec) | Twitter
  5. M

    Nimedownload Phoenix OS ila haionekani kwenye PC

    Msaada jamani nmeidownload but niki-install siioni kwenye PC yangu so nashindwa itumia. Msaada wana jamii tafadhali
  6. M

    Zuku kuunfa kwenye TV

    Msaada jamani wandugu. Tv imezngua naombeni msaada jinsi ya kuunga zuku kwenye laptop. Najua umu kitu kushindikana ni nadra sana
  7. M

    Naomba msaada wa kuboresha hii Blog yangu

    Nina blog yangu shida ni kwamba nashindwa kuweka vipengele mfano msomaji akifungua akute kuna sehemu ya habari, magazeti, ajira nk yani akifungua halafu aende kwenye sehemu husika
  8. M

    Nashindwa kudowload picha zangu kwenye Google drive, msaaada jamani

    Msaada ndg nimetumiwa picha zangu za graduation via email but nikitaka kuzidownload inasema ask permission to google drive. Msaada wenu jmn
Back
Top Bottom