Jaman samahani naulizia nyimbo mbili ambazo sina majina yao ila baadhi ya mistar naikumbuka
1. Umenichoma sindano ya mapenzi wewe farida jamaaa naisi baridi.
2. Niliingia mpaka ndani sometimes nikajifanya mwalimu sometimes niksjifanya mwanafunzi sometimes..........
Baby ni kwambalaaa mabinti...
Kila watu na taranta zao mkuu madokta wakiwa bzzy kitafuta dawa wenye taranta Kama hiz wao wanazid kisaidia jamii kutokana na knowledge waliopewa hamna mbaya mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.