Search results

  1. C

    Mhe Kikwete URAIS Chukua, Mchakato Mzima wa KATIBA MPYA ni ya Wananchi Wote

    WATANZANIA MCHAKATO MZIMA WA KATIBA MPYA NI HAKI YETU NA WALA SI MILIKI YA RAIS Heri ya Mwaka Mpya 2011 kila mmoja wetu!! Ndugu zangu Wana-JF na Watanzania kwa ujumla wetu, tusisahau mambo ya msingi yaliotufikisha hapa hasa sisi VIJANA kutaka kujiandikia wenyewe KATIBA MPYA. Sote tunaelewa ya...
  2. C

    Mtego wa CCM Kujilipa Kupitia Dowans na Tafsiri ya Wapiga-Kura 'TALAKA TOKOMEA'!!

    Haijalishi taasisi gani (ICC) imesema Wa-Tanzania wkupitia TANESCO tukamplipe Dowans Billioni 185, kama hatuwezi kujuzwa wamiliki wake wazi wazi, mkataba wenyewe ulivyokua, na nyaraka zote za kesi, basi sisi kama walipa kodi tunahaki ya kuyagomea malipo hayo. Lakini, kwa kuwa AG Werema kama...
  3. C

    Mkataba na Kampuni ya TATA Mkoa wa Arusha Je??

    Wa-Tanzania tusizike tu kichwa kwenye mikataba ambamo tayari kumeshaingizwa mjini, je na mikataba mingine ambayo HAIJALIPUKA BADO NA TAYARI YAMESAINIWA nchini tuyapekue haraka kabla ya kufikia haya ya M-Dowans na Richmond. Kwa tabia ya Edward Lowassa wananchi tulivyokwisha kumfahamu ukimuona tu...
Back
Top Bottom