Search results

  1. UDOM

    Ajutia kugawa namba ya simu

    Hapo itategemea na hulka yangu na mazoea niliyojijenga naye. Mimi binafsi mke wangu nilishamwambia kitambo sana tangia tuko boyfriend na girlfriend kuwa spend kabisa hiyo tabia, lakni mwingine anaweza chukulia poa, na wengine huwa hawaulizani kabisa habari za simu, hata mmoja kugusa simu ya...
  2. UDOM

    Ajutia kugawa namba ya simu

    Kujua kuwa mwanaume ana wivu wa kitoto au kumlaumu mwanamke inabidi tuangalie maisha yao zaidi kuanzia jinsi walivyokutana. Huwezijua labda siku ya kwanza huyo mume wake alipomtokea alimkuta huyo mwanamke na mwanamme mwingine naye akaomba namba ya simu, sasa jamaa anaona kama vile mkewe ni...
  3. UDOM

    Mpasuko Chadema

    Crap! :puke:
  4. UDOM

    Bodyguard wake hapa yupo wapi??? Au huwa haendi naye nje ya nchi???

    Kiwete akiwa anakula bata anampiga pending bodyguard wake, hata akiwa anacheza viduku au akiwa anakamua vimwana wake, bodyguard pending
  5. UDOM

    Je hapa Kikwete alipewa cheki ya dola ngapi? Laki Mbili au tatu?

    kweli wabongo tunaongozwa na kilaza
  6. UDOM

    Gari la CCM likiwa na Mama Makamba lapata ajali

    Ningekuwa karibu ningewamalizia kabisa
  7. UDOM

    JK ni Rais au Celebrity?

    Afu linapenda kubembea ka toto, kuchekacheka ka bwa bw
  8. UDOM

    Je hapa Kikwete alipewa cheki ya dola ngapi? Laki Mbili au tatu?

    Je hapa Kikwete alipewa cheki ya dola ngapi? Laki mbili au tatu? God knows how boghas this guy is.
  9. UDOM

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Wewe Teroburu kwanza unajua maana ya neno Pathetic au umekurupuka kutoka kwa mlacha saiv kakutuma uje uandike hizi crap? Ngoja nikupe darasa kidogo. Meaning of Pathetic: (a.) Affecting or moving the tender emotions, esp. pity or grief; full of pathos; as, a pathetic song or story. (a.)...
  10. UDOM

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Hivi Kikula kusoma hakumsaidii??Yaani mtu ukishakuwa kiongozi Humanity kwako inapotea??sasa kusema Claim zetu they are not Genuine anamaanisha nini?? Huyo JK akishamaliza kucheza kiduku huko zanzibar aje haraka UDOM kabla hapajageuka kuwa Arusha part 2
  11. UDOM

    Vijana wa Tanzania waanzisha kampeni kutaka Kikwete AJIUZULU

    Anazipata kwa hakika. UWT wapo humu na wamejaa facebook wanamfikishia habari.
  12. UDOM

    JK atoa kafara MSOGA

    Mambo yalikuwa kama hivi
  13. UDOM

    Makamba yu njiani kujiuzuru?

Back
Top Bottom