Search results

  1. Papa Diana

    Mkemia mkuu Tanzania: DNA yabaini 49% watoto sio wa baba halali

    Kumbuka kwamba wanaenda kuomba hizo DNA test tiyari wanakuwa na wasiwasi/ mashaka kama hao watoto ni wao au la....kwa hiyo hiyo asilimia 49% isikutishe san...sio katika jamii nzima ni katika sample za wenye wasiwasi :-)
  2. Papa Diana

    Daktari aliyembusu mgonjwa wake asakwa

    Saa nyengine inahitaji moyo.....kama wife anamimba.....unajua anaweza mtia kidole mbele yako....eti anaangalia njia....
  3. Papa Diana

    Uchafu wa wahudumu wa Ununio Beach

    Dah....hatari sana
  4. Papa Diana

    Mengi akava jarida la Fobres Africa la July 2014

    It depends on the methodology used to calculate his networth! i suspect it includes fixed assets including land (in Tz this varies wildly depending on where it is, and some dont usually include it)
  5. Papa Diana

    I'm Planning to Meet lara 1

    Simplicity. You blew it BIG time!!!! She gave you a chance to wow her, but you messed up!!! I don't think you stand a chance mate! Pole :-)
  6. Papa Diana

    Nimewapenda CHADEMA bure: Kila shutuma za wapinzani wanazirusha kwa wenyewe na kuwauma kwa sana

    Nini maana halisi ya kutuo matamshi yale wakati huu? bado sijaelewa...
  7. Papa Diana

    Bakhresa achangia bajeti $800k

    Huyu jamaa..angeachiwa aendeshe hizi kampuni zetu za Reli...tungekua mbali...
  8. Papa Diana

    Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam lawashikilia Mkandarasi Mkuu na Mhandisi wa Wilaya

    Mkuu unayosema ni kweli? Basi ww ni mmoja Wa mashahidi muhimu ktk hii kesi, pls nenda Polisi Katie hii taarifa muhimu! Ikiwezekana uwa tafute na hao wachina waliopiga calculations
  9. Papa Diana

    Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

    Nakubaliana Na Rex hapo juu! Tafuta vidonge vya Gingo Biloba (herbal remedy), vinaweza kusaidi, lakini itabidi utumia angalau kwa miezi mitatu ndo uone Kama kuna tofauti au la! Otherwise itabidi uende hospitalini kwa uchunguzi zaidi ( hospitali kubwa/ pengine Aga Khan)
  10. Papa Diana

    Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

    Unaumri gani? Umekuwa na tatizo hilo kwa muda gani? Je kwenye familia yenu kuna historia hiyo?
  11. Papa Diana

    Pesa mbele uhai wa mtanzania baadaye! MSD

    Mkuu Janjaweed inaelekea unajua issue nzima ilivokuwa, lakini unaongea kwa mafumbo! Funguka ili sote tupata kufahamu!
  12. Papa Diana

    Mtoto wa kigogo akamatwa na dawa za kulevya huko China - Dr Slaa

    Ngumu kuamini! What could be the motive? Maanake Kama mi fedha ananjia nyingi za wizi zenye lower risks anaweza kutumia! Labda tu awe amebambikwa!
  13. Papa Diana

    Malawi,Tanzania begin talks over Lake Malawi dispute

    USA paper on the border www.law.fsu.edu/library/collection/limitsinseas/ibs037.pdf
  14. Papa Diana

    Lake Malawi/Nyasa row: Time to show strong leadership

    Source: Lake Malawi/Nyasa row: Time to show strong leadership | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi comments from Malawi BigMan Says: August 6th, 2012 at 8:40 pm We can take these Taifa's with the right...
  15. Papa Diana

    Kisa cha Mbarbaig na ng'ombe wawili na tuhuma za mauaji...!

    Ni muhimu kuwe na elimu kwa umma kwa ujumla (ingawa hata polisi wetu pia wanahitaji refresher courses) kuhusu umuhimu na njia sahihi ya ukusanyaji wa ushahidi pindi uhalifu unapotokea!
  16. Papa Diana

    The Commander In Chief Test: Membe, Sitta and Lowassa

    Katika mgogoro wa mpaka kati ya Malawi na Tanzania yupi kati ya hawa viongozi watatu ameonyesha uongozi mzuri hadi sasa na anafaa kua Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania? Elezea/ Fafanua.... 1) Tanzania asks Malawi to halt oil exploration | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source...
  17. Papa Diana

    Speed 120km/hr ya pikipiki na 120km/hr ya gari?

    Wakuu mimi nipo safari ktk Iringa kuelekea Dar! Nikifika dar nitapitia posts zote na kutoa marks! Lakini mpaka sasa nasikitishwa sana na uelewa mdogo wa wengi ktk hili swali (ukizingatia wengine wanajita ma Dr); Mwongozo :- ili kujibu hili swahili ni vizuri ujiulize definition ya speed...
  18. Papa Diana

    Ugonjwa wa Tetekuwanga (Chicken Pox): Maambukizi, dalili, madhara na tiba

    Nakubaliana na wewe Mkuu, Lakini pia unaweza kunywa, antihistamine kama Piriton(R), kupunguza makali ya kuwasha!
Back
Top Bottom