Search results

  1. B

    Msaada kwa aliyewahi kusoma Malawi

    habari za saa hizi waungwana najua huku nakutana na wasomi wengi nilikua naomba kujua kama kuna aliyesoma Malawi level yeyoye tuwasiliane kuna mambo mengi ningetaka tuongee na tushauriane pia ni msaada naomba kwa waungwana wenzangu watanzania wenye moyo wa upendo
  2. B

    Kuna madhara yoyote uki install apps kwenye memory card?

    habari za saa hizi waungwana Nina simu ya Huawei memory yake ya ndani ni ndogo sana sasa nimekuwa niki download apps na kuziweka kwenye memory card lakin baada ya muda memory card zinakuwa hazisomi tena nimejaribu kama memory card tatu tofauti na zote zimekufa kwahiyo nilikua naomba kwa...
  3. B

    Msaada: Jinsi ya ku logout JamiiForums

    Waungwana naomba mnisaidie jinsi ya ku-logout JamiiForums, mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa msaada tafadhali!
Back
Top Bottom