Search results

  1. S

    selected applicants st francis university bofya hapa

    NI kweli anacho sema Link ya kupata sleection ya chuo hiki ni hii Media News - St. Francis University
  2. S

    4 pcb, cbg & pcm takerz graduatec 2012 only

    Ongeeni yote mnayoyaweza lakini heshima ya nani alifaulu sana au hakufaulu sana itaonekana pale ambapo utakuwa unahudumia jamii, na kufaulu sana au kufeli sana haimaanishi unauelewa mkubwa au mdogo kikubwa ni kuifahamu vizuri kazi unayoenda kuifanya na uwezo wa kuifanya watu wakakukubali
  3. S

    ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

    Ukitaka kuamini kuwa selection tayari zimetoka ila wameamua kutotangaza kwanza fungua website Muslim University Morogoro kwani wao tayari wamesha display kwenye web yao, ila hii thread nimeipenda sana maana inaondoa presha si tu kwa mhusika mwenyewe hata kwetu sisi tulio na wadogo zetu ambao...
  4. S

    msaada wa product key office 2007

    Asanteni wakuu lakini nimejaribu zote na haijakubali
  5. S

    msaada wa product key office 2007

    jamani wana JF nime download Microsoft office professional 2007 na kuinstal lakini inanitaka product key naombeni msaada tafadhari
Back
Top Bottom