Search results

  1. Ibrahim300

    Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

    Nimeiona hii post kwa blog flani nikashindwa kujizuia kuiweka humu. Ukweli usemwe. Ndoto ya kila mwanaume katika hii dunia wakati mmoja au mwingine hufikiria kuwa na kipawa cha kuweza kumzuzua mwanamke yeyote anayemzimia. Uzuri ni kuwa hauhitaji kuwa tajiri ama kuvutia ili uwe na kipawa kama...
  2. Ibrahim300

    Hivi Corazon Kwamboka Ndiye Dada Mwenye Makalio Makubwa Afrika?

    Nimekuwa nikipitia pitia kwa mitandao tofauti nikisoma habari kuhusu huyu wakili Corazon Kwamboka na jinsi waandishi tofauti wa blogs wana maoni kumhusu. Well, yaonekana kuwa Corazon Kwamboka ndio jina jipya na latest katika blogsphere. Infact amekuwa akipigwa darubini kuanzia blogs za...
  3. Ibrahim300

    Mamake mwigizaji Rambo, ana miaka 92 lakini bado kijana

    Mamake mwigizaji wa Hollywood Sylvester Stallone anayejulikana kwa jina Jackie Stallone ni mama mzee mwenye umri wa miaka 92 lakini bado ni mtu mwenye nguvu na anaijulia sana mitindo ya kuvalia nguo. Jackie ambaye anafanya kazi ya kutabiria nyota za watu alionekana akitembea kando na kilabu...
  4. Ibrahim300

    Kenya Yamtaka Vera Sidika Kushiriki BBA

    Reality show kubwa zaidi Afrika iko karibuni na wakenya wameanza kutoa mawazo nani anayeonekana bora kwa mashindano hayo. Mwaka jana Kenya iliwakilishwa na Huddah Monroe na Annabel Mbaru ambayo perfomance yao ilikuwa ovyo. Katika Twitter, mtangazaji wa redio maarufu Nairobi alimshawishi Vera...
  5. Ibrahim300

    Picha 7 Za Bikini Za Corazon Kwamboko, Mdada Mwenye Umbo Tata Nchini Kenya

    Corazon Kwamboka aka lilythegenie anazidi kuimaintain himaya yake kwa kuwa na shepu inayoaminika kuwa bora zaidi jijini Nairobi. Hata wengine waliojaribu kuiga mitindo yake ya kupiga picha na kuweka makalio feki walianguka vibaya. Tukiongea makalio feki, Corazon ashajitenga na kundi...
  6. Ibrahim300

    Rick Ross Amdiss Chris Rock Katika Tukio La BET Awards

    Siku ya jumapili ilikuwa ya furaha kwa wote walioweza kushinda tuzo la BET Awards, na pia ilikuwa siku ya vichekesho kwani MC ambaye alikuwa akiongoza shoo nzima Chris Rock alikuwa akiwashambulia baadhi ya mastaa ikiwemo Chris Brown, Dr. Dre na wengine. Lakini ile iliyozua hisia ni baada ya...
  7. Ibrahim300

    Mbona JK Anajitenga Na Jumuia Ya Afrika Mashariki?

    Kwa muda nimekuwa nikijaribu kumsoma rais Jakaya Kikwete kuhusu kuchangia kwake kwa ushirikiano katika kanda ya afrika mashariki. Huku nchi kama Kenya, Uganda na Rwanda zikishikana mikono kwa dhati, JK ameendelea kujitenga na mataifa haya. Swali ni kwa nini? Kwa kufanya uchunguzi wangu...
  8. Ibrahim300

    Rihanna Akiwa Amevalia Cheni Na Kufuli Shingoni

    Rihanna jijini London aliwasili huku amevalia chain katika shingo pamoja na kuvuli...Rihanna anakisiwa kuwa na mahusiano ambayo bado hayajakuwa wazi na msanii Drake. Cheki baadhi ya picha zikimuonyesha Riri na chombo hicho. Credit: bkuHABARI Blog
  9. Ibrahim300

    Miley Cyrus Afanya Shoo Na Chupi Baada Ya Kuchelewa Kuvalia Nguo

    Huu muda wote mpaka Miley Cyrus amalize concerts zake za Bangers tour, tutajitayarisha kuona mengi. Hivi mwezi jana staa huyu aliweza kuilamba chupi ya fan wake mmoja na haingekuwa maajabu kuona zaidi ya tendo kama hili. Haishangazi kumuona Miley akipafomu akiwa na chupi pekee. Katika...
  10. Ibrahim300

    Mastaa Ambao Washalala Na Kim Kardashian

    Hebu mwanzo tuweke wazi hapa kabla hatuja dondosha list nzima ya wanaume aliokuwa nao Kim Kardashian, hatuwezi kusema Kim ni [ingiza neno lako hapa] kwa kuwa na mahusiano na wanaume 9 kwa muda wa miaka 33. Unaweza kumhukumu staa huyu kwa kuwa na ndoa mbili za kuvunjika, na pia ule wakati...
  11. Ibrahim300

    Mastaa Wa Bongo Wenye Nyota Ya Ngono

    Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Makubwa! Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahya ameanika nyota za baadhi ya mastaa wa Bongo katika kipengele cha mapenzi au ngono, Risasi Jumamosilimesheheni. Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahya. Akizungumza na mapaparazi wetu katikati ya...
  12. Ibrahim300

    Ile Picha Bora Zaidi Ulimwenguni Kutoka Oscars Na Twitter Yapata Msisimko...

    Imekuwa picha ya kwanza kuvunja rekodi ya kusambazwa zaidi ulimwenguni mzima. Na sahizi kumewekwa picha nyingine mfanano lakini yenye ucheshi ndani yake. Siku kadhaa baada ya Ellen Degenes kuweka picha yenye mastaa kadhaa kwa mtandao wa Twitter, watu nao wameamua kuibadilisha picha hio...
  13. Ibrahim300

    Diamond Platinumz: Najuta Kuwa Staa

    Stori: SHAKOOR JONGO Exclusive Interview! Staa anayeuza zaidi kwa sasa kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ amefungukia skendo ambazo zimekuwa zikimtafuna kila kukicha huku akieleza kuwa, sasa anajuta kuwa staa, Ijumaa lina mzigo kamili. Akizungumza na...
  14. Ibrahim300

    Katy Perry Kwa Miley Cyrus: Nitakuchapa Makalio (Spank) Mpaka Ushangae

    Katy Perry ameamua kuwa atamchapa makalio Miley Cyrus. Haya ni maneno yaliyotoka kwa Katy Perry na wala sijayatunga mimi. Staa huyu wa nyimbo E.T. ameamua kumjibu Miley Cyrus baada ya mvutano wa kimaneno. Perry ameamua kumhakikishia kuwa atampa chake Miley watakapokutana jijini UK. Haya...
  15. Ibrahim300

    Picha Za Justin Bieber Alizopigwa Na Polisi Zimeachiliwa Kwa Mtandao!

    Justin Bieber tangu mwaka jana amekuwa akifuatwa na visanga na kuingizwa korokoroni mara kwa mara. Staa huyu mwenye albamu ya Journal ameweza kupigwa picha na polisi kutoka Miami Police Department na picha hizo zimetolewa kwa umma waziangalie. Ok round hii Bieber hakuwa na chake kwani polisi...
  16. Ibrahim300

    Mtoto Wa Museveni Ajitokeza Kuwa Yeye Ana Jinsia Utata

    Haijapita wiki vizuri kabla rais Museveni wa Uganda kupitisha mswada wa kuwafunga mashoga wote wataopatikana, mtoto wake Diana Kamuntu amejitokeza hadharani na kudai kuwa yeye ni mtu mwenye jinsia ya utata. Kupitia mahojiano ya redio mjini Mbarara, Diana alikiri kuwa yeye ana jinsia utata...
  17. Ibrahim300

    Staa Aliyejichubua Hadi Kope Atafuta Mwonekano Baada Ya Kuanzisha Bifu Na Lupita Nyong'o

    Mwanadada aliyejichubua ngozi kutoka nchi Camoroon aliingia kwa mtandao wake na kumpa makavu live mwanadada Lupita Nyong'o. Lupita Nyong'o ameweza kumulikwa na vyombo vya habari na amependeza sana hasa kwa ngozi yake nyeusi asilia ya kiafrika....jambo ambalo halikumpendeza staa wa Cameroon...
  18. Ibrahim300

    Kim Kardashian na Kanye West Watangaza tarehe ya harusi yao

    Kwa muda tumekuwa tukingojea kufahamu siku ya wawili hao wataweza kuoana lini. Na kama tulivyotarajia, wawili hawa hawakuiweka mbaliiii... Wawili hawa watafishana pete jijini Paris kama vile uvumi ulivyokuwa ukienea, Wahudhuria pia hawatakuwa wengi sana, watu 150 pekee. Halafu siku yenyewe...
  19. Ibrahim300

    Ney Wa Mitego: Namchukia Ostaz Juma, Hata Salamu Yangu Siwezi Kumpa

    Mkasa wa Ostaz Juma na PNC linaweza kutajwa kuwa moja kati ya matukio yaliyozungumzwa zaidi kwa wiki iliyopitwa kupitia mitandao ya kijamii na baadae kuwa topic kwenye radio na television wiki iliyopita. Ingawa wasanii wengi walilaani kitendo hicho, rapper wa Manzese, Nay wa Mitego yeye...
  20. Ibrahim300

    50 Cent: P. Diddy, Rick Ross Na Steve Stout Wote Ni Mashoga

    50 Cent amechukizwa na mahasimu wake wa ngoma za rap na kuamua kufichua mambo yanayoendelea kwa baadhi ya mastaa watajika. Kwa kupitia mtandao wake wa Instagram, staa huyu aliweka picha inayowaonyesha Rick Ross, P Diddy na Steve Stout katika sura isiopendeza ya kuashiria mapenzi ya jinsia...
Back
Top Bottom