Rick Ross Amdiss Chris Rock Katika Tukio La BET Awards

Ibrahim300

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
390
68
Siku ya jumapili ilikuwa ya furaha kwa wote walioweza kushinda tuzo la BET Awards, na pia ilikuwa siku ya vichekesho kwani MC ambaye alikuwa akiongoza shoo nzima Chris Rock alikuwa akiwashambulia baadhi ya mastaa ikiwemo Chris Brown, Dr. Dre na wengine.

Lakini ile iliyozua hisia ni baada ya kumuinjoy Rick Ross kwa kuwa ni mnene kupindukia (Rick Ross muda huuanafanya mazoezi ya kupunguza mafuta)

Katika Twitter, Rick Ross alimdiss Chris Rock kwa kumwambia amechapa- yaani hio joke yake haikuwa bunifu zaidi.

ok! tukio zima lilitokea baada ya Chris Rock kudai kuwa ana diabetes:¡°Dre has Beats, Rick Ross has DiaBEATS,¡±

Halafu ile iliyozua hisia ni baada ya kudai kuwa kati ya marapa wote nchii Marekani, Rick Ross atakuwa wa kwanza kufariki na ugonjwa wa saratani ya matiti.

Hivi Ross ana haki ya kumdiss ama afaa amezee tu!

Chanzo Picha: Rick Ross Amdiss Chris Rock Katika Tukio La BET Awards | the bkuHABARI Blog
 
Back
Top Bottom