Search results

  1. Wizzo

    Mambo ya msingi ya kuwaambia watoto kuhusu dini, tuwaambie ukweli

    - Tuwaambie wenetu kwamba sisi hatukutokana na nyani, tumeumbwa na Mwenyezi Mungu. - Tuwaambie tulikua na dini zetu za asili, Mungu aliabudiwa kwa sura mbalimbali, za n’gombe, punda, majoka n.k na sala zilijibiwa na Mungu huyu huyu. - Tuwaambie Ukweli kwamba Africa ndiko asili ya elimu...
  2. Wizzo

    Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

    Hapa naona stor inaishia hapa...umepiga stor zake kakutafta na leo usiku lazima aje usiku kukuonya uishie hapahapa hahahahha
  3. Wizzo

    Uchaguzi 2020 Dodoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Kuna mabomu yanalindima Dodoma, Kikuyu.
  4. Wizzo

    Naweza ku-renew akaunti ya benki ambayo sijaitumia kwa miaka 6?

    NBC ndo wanaujinga huo wa kulipa hzo fees
  5. Wizzo

    Maelekezo kutoka kwa wenyeji wa Dodoma

    Kitimoto vipi unakula uende pale pork point maeneo ya nbc Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Wizzo

    Vodacom kuna nini jamani? GB 1 masaa mawili

    Ukweli voda wezi... Nataka kuwashitaki ndo nipo nakusanya ushaidi... Simu yangu inaonesha matumizi yangu..haiwezekani GB 1.5 siku mbili na wakati naitumia muda wa jioni nikirudi tena ni wasap tu na jf tu imeishaje
  7. Wizzo

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimelipa 320960 ili nivutiwe umeme..nimelipa toka ijumaa mpaka leo sioni kuungiwa umeme Mkoa : dodoma Mahali:kikuyu
  8. Wizzo

    Nyalandu: Niliamua kuacha Ubunge baada ya kuzuiwa kwenda kumuona Lissu

    Kwani mbunge yeyote wa ccm alienda kumuona lisu?tuanzia hapa kwanza npeni jibu
  9. Wizzo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    James ndani ya united
  10. Wizzo

    JPM ni kweli alisema hivi?

    Embu ileteni hio clip pia niione
  11. Wizzo

    Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Zaman dar dom saa 4..super champion alikua anaenda na kurudi..champion arusha dom saa 8 mchana acheni zile scania isee achana na mchina Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Wizzo

    Mauaji Itigi: Baba mzazi (Petro Kulwa) asema alimshuhudia Mkurugenzi akimpiga risasi mwanae(Isaka Petro)

    Kwa taarifa yenu hii inshu walitaka waifanye kimya kimya isisikike ndio maana tukio lilitokea jmos cha kushangaza limetangazwa juma3..alieua ni DED sema wanataka kumlinda na kumpa uuaji askar poli..poor tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Wizzo

    Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

    Huyu mkurugenzi muuaji inasadikika ni mjomba wake baba jesca...hii ndo inampa kiburi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Wizzo

    Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

    Kamvamia mtu akiwa kanisani ktk kijiji cha kitaraka na kumpiga risasi ya kichwa na kufa papo hapo. Wananchi wamechachamaa wanamtaka mkurugenzi. RPC wa Singida kaja kupoza fujo... Huyu DED apimwe akili
  15. Wizzo

    Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

    Dodoma napata wapi kitimoto safi isee
  16. Wizzo

    Nimekutana na gari ya RC Shinyanga; dereva wake anaendesha hovyo

    Leo nimekutana na gari ya RC shinyanga..ukweli dereva anaendesha ovyo bila kufuata sheria za barabarani..hawa ndo wanaosababisha ajari na vifo
  17. Wizzo

    Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

    Oooh ndo haka ka mchina...hongera zake
  18. Wizzo

    Dereva wa Mo Dewji afunguka, ‘alipokea meseji za vitisho’

    Hivi waziri husika ameongea chochote
Back
Top Bottom