Search results

  1. M

    UFAFANUZI: Kesi ya Zitto vs CHADEMA haijaisha mahakama kuu

    nenda kachukue buku saba zako sasa
  2. M

    Kauli ya Joseph Warioba kuhusu Muungano mwaka 1982

    kweli jina linasadifu matendo ya chuki
  3. M

    Dr.Slaa: Tuna nyaraka kutoka Halmashauri Kuu ya CCM ikiagiza polisi kushughulikia vyama vya upinzani

    dah kweli lumumba imeshawaharibu na buku saba yaani mnashindwa kutumia akili hata kidogo kufikiri?
  4. M

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    vigezo vyote ninavyo ni pm fasta ila tutalea wote
  5. M

    Madhara ya mnara wa mawasiliano

    PITIA HIYO PEPA CHINI HAPO IMPACT OF CELL PHONES ON MALE SPERM INFERTILITY
  6. M

    The Biggest Threats In 2011

    Hiyo imetukia
  7. M

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu 500 wanaoishi na vvu katika vyuo vyote vya iringa yaani 1@500. Je kuna kaukweli kokote au ni...
  8. M

    Wako wapi hawa wanamageuzi waliosaliti mageuzi na kurudi ccm?

    prince bagenda yuko shinyanga?
  9. M

    Membe kuwania urais 2015...

    mh mi simo
  10. M

    Kulikoni Tanzania Daima?

    kuna jamaa yupo dom nilimpigia simu kumuuliza hot nyuz za tz daima leo akasema dom yaliisha mapema hii ina maana ni karibu tz nzima. shame tz daima
  11. M

    Naomba kujua jamani

    na mafisadi wakimtaka mtu awe wao huwa hawashindwi na tamaa za watz!
  12. M

    Kulikoni Tanzania Daima?

    labda wanafanya makusudi wamiliki ili wajue watu wanalipenda kiasi gani?
  13. M

    Kulikoni Tanzania Daima?

    na hata iringa huku yamekwisha mapema sana
  14. M

    Naomba kujua jamani

    please jamani mwenye kumjua vizuri amwage cv zake hapa jamvini maana nasikia anajandaa kuwa mwanasiasa mkubwa na mafisadi wanaanza kuwa karibu naye
  15. M

    Kulikoni Tanzania Daima?

    labda liliandika habari za mafisadi na wakayanunua karibu yote
  16. M

    Mseto

    Watafanya ka kenya c hata raila ameenda kuwapa mwongozo?
  17. M

    This is Rostam I know... The Story Behind the Man

    Maana imefika sasa hata jumjua mwenye dowans ili alipwe inakuwa shida wkt kuna vyombo strong vya upelelezi na ujasusi lkn vinashindwa kutuambia nani ni mmiliki au aliyeiandikisha dowans ila kwenye malipo yanasisitizwa hata na mwanasheria mkuu kwamba lazima walipwe. Jamaniiiii katibaaaaaaa mpya...
  18. M

    This is Rostam I know... The Story Behind the Man

    IBARA YA 13(6)(c) ni marufuku kwa mtu kuadhibiwa kwa sababu ya kitendo chohote ambacho alipokitenda hakikuwa ni kosa chini ya sheria, na pia kwamba ni marufuku kwa adhabu kutolewa ambayo ni kubwa kuliko adhabu iliyokuwapo wakati kosa linalohusika lilipotendwa; (d) kwa ajili ya kuhifadhi haki...
Back
Top Bottom