Search results

  1. fikramakini

    Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Kuna vijana wazazi wao wana nafasi serikalini, wanaanzishiwa makampuni halafu wanakabidhiwa halmashauri wanapata tender bwerereeeeee ... halafu mitaani wanaona wenzao ni wazembe hawataki ku-invest. Ndo maana na sisitiza, vitabu vya kiyosaki havi apply sana kwetu kwasababu the system is not fair...
  2. fikramakini

    Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Inamaana wakati wa ajira yako ambayo uliiacha hukuwa na uwezo wa kutenga 1,000,000/- kwa mwezi kama akiba ili ujenge sio? Sasa kama mwenzio ana take home ambayo inamwezesha kuweka akiba ya 1,000,000/- baada ya matumizi yake ya kawaida, kuna ubaya gani akianza kujenga? Tena akimaliza kujenga...
  3. fikramakini

    Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Mkuu, hii copy and paste kutoka rich dady poor dady ya robert kiyosaki itakufikisha kubaya. Inaamaana hawa wenye nyumba sinza tunakopanga kwao ni liability? Acha utani bana. Hata kama nyumba yangu sijapangisha ninaishi mwenyewe, nisingekua nayo si ningekua ninatumia pesa ku rent nyumba...
  4. fikramakini

    Picha: Wazanzibar wakionesha hisia juu ya muundo wa Muungano

    1. Kuruhusu kura ya wazi na ya siri kwa wakakati mmoja ndo namna ya kumaliza mvutano? Vipi mvutano wa aina ya muungano, turuhusu serikali tatu na mbili kwa wakati mmoja ili kumaliza mvutano? Hebu jaribu kufikiri vzr zaidi! 2. Ni kweli katiba haina hisia na wala sio mtu lkn mtu anaeunga mkono...
  5. fikramakini

    Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    Inamaana hata mwanao wa kiume akiwa shoga haitokuhusu? Niki assume wewe ni wa kiume, vipi njemba ikikutokea utatabasamu au utakasirika?
  6. fikramakini

    CHADEMA haiweki mgombea JIMBO la KIEMBESAMAKI?

    Safu ya chama chako pendwa CCM na serikali yake ikoje mkuu?
  7. fikramakini

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    (iv)Tunampa onyo kali katibu mkuu Dkt. Slaa kuwa asithubutu kukanyaga SINGIDA ikiwa bado hajayafanyia kazi maelekezo yetiu hapo juu, kuzunguka kwake mikoani baada ya kumvua vyeo zitto ni kwenda kuthibitisha kuwa amefanya makusudi mpango wake huo. Naona kuna shida mbili hapa: 1. Huyu...
  8. fikramakini

    Msajili: Sitasitisha ruzuku kwa vyama vya siasa

    Hivi ikitokea CAG hajapeleka wakaguzi kukagua halmashauri au shirika la uma fulani, ni halmashauri au shirika litalaumiwa kweli? Hivi kwanini hatutaki kutumia akili zetu vizuri? Au labda naomba mtu aweke ushahidi hapa ni chama gani kilikataa auditors kutoka kwa CAG kuingia na kukagua hesabu zao
  9. fikramakini

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Analipia Obama mkuu
  10. fikramakini

    Sheha wa Tomondo - Zanzibar amwagiwa tindikali!

    Ni Sheha sio Shehe!
  11. fikramakini

    Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

    Red ya kwanza: wapinzani wametumia report ya CAG kuhoji so hakuna kukurupuka mkuu Red ya pili: Kumbe hata kama ni kweli huto amini? AJABU KWELI!!!!
  12. fikramakini

    Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

    NUT, KITASA, .... tiririka mkuu na vingine vyote. Ndo elimu gani hiyo? Hata kuendesha gari kwa reverse tairi inazunguka kutoka kulia kwenda kushoto ... ha ha ha ha haaa
  13. fikramakini

    Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

    Tena cha ajabu kamanda anadiriki kusema mwalimu hatakiwi na WANAFUNZI wakati ni waisilamu pekee ndo hawamtaki ... doh! Kaaaazi kweli kweli
  14. fikramakini

    Ukikutwa unaonesha picha za ngono ukumbini

    Wala sitakutwa maana sifanyagi hizo vitu. Ila ukifanya hivyo hakuna mashitaka bali ni hukumu ya kwenda jehanamu.
  15. fikramakini

    Baraza la Mitihani: Fukuza fukuza bila utaratibu hadi Ajira bila utaratibu

    Kwa kipindi kirefu sasa kumekua na kashfa mbalimbali ambazo zimelikumba Baraza la Mitihani la Tanzania. Kupitia vyombo vya habari tumesoma taarifa ya wizi/upotevu wav yeti na hata results slip ndani ya majengo ya taasisi hiyo. Pia tumeshuhudia uvujaji mkubwa sana wa mitihani ulio husisha taasisi...
  16. fikramakini

    Tunaipeleka wapi elimu yetu ya Msingi Tanzania??

    Mkuu ukisoma vitabu vya Robert T. Kiyosaki uvisome kwa umakini kidogo maana kuna contents ambazo zina apply kwao tu. Mfano anaposema Nyumba USA sio assert, utasema na Tanzania nyumba sio assert? Ukumbuke kule kwao bei za nyumba zina flactuate lakini hapa kwetu zina appreciate kila kukicha. Haya...
  17. fikramakini

    Tunaipeleka wapi elimu yetu ya Msingi Tanzania??

    MKuu kama nime elewa vizuri ni kwamba utaratibu wa kusahihisha umekua computerized. Sio rahisi computer kusoma maelezo na kweza ku-mark. Watahiniwa wa darasa la saba ni wengi kiasi cha kufanya zoezi la usahihishaji kuwa gumu na kuchukua muda mrefu. Na huu ni utaratibu unaotumika nchi nyingi...
  18. fikramakini

    Mikael P Aweda kuishambulia TBC kupita ITV. Maoni yangu.

    Karibu ungepatia, jibu sahihi ni: 11,000 = Kumi na moja elfu 10,001 = Kumi elfu na moja Nimeipenda hii chemsha bongo maana inasaidia kutosoma up.pu mwingineo huku ...
  19. fikramakini

    Mikael P Aweda kuishambulia TBC kupita ITV. Maoni yangu.

    MKuu nashindwa kabisa kukuelewa ... japokua hakutaja TBC kumbe wewe una uhakika kwamba TBC inaibeba CCM? Sasa hata kama angetaja TBC, wewe una utetezi gani kwa TBC? Mkuu hebu tiririka vizuri nikuelewe!
Back
Top Bottom