Search results

  1. screpa

    Playlist kali ya Harusi 2024

    Ya kawaida
  2. screpa

    Playlist kali ya Harusi 2024

    Wakuu hivi karibuni natarajia 'kumuozesha dada', naombeni mnisaidie mikwaju ya kisasa itayoleta vibe la kutosha ukumbini niiwasilishe kwa Dj. Ahsante!
  3. screpa

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Kweli, kama ni buku unaipigia hesabu hapohapo maana una uhakika imeingia
  4. screpa

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Shida ni kwamba hao wafanyabiashara ni mawakala pia, mawakala wengi sikuhizi wanakuwa na biashara nyingine so inakuwa ngumu kuzitenganisha. Halafu kumbuka wateja ndio wanachochea mawakala kutafuta line za Lipa, maana kwa sasa wateja wengi wamehamia huko, wakala ukiwa hauna line ya lipa utakuwa...
  5. screpa

    Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

    ᴺᴵᴹᴱᶠᵁᴬᵀᴵᴸᴵᴬ ᴺᴵᴹᴱᴬᴹᴮᴵᵂᴬ ᴺᴵ ᴮᴬᴬᴰᴴᴵ ᵞᴬ ᴹᴬᴱᴺᴱᴼ ˢᴵᴼ ᴺᶜᴴᴵ ᴺᶻᴵᴹᴬ, ᴴᴬˢᴬ ᴹᴬᴱᴺᴱᴼ ᵞᴬ ᴷᴬᴺᴰᴬ ᵞᴬ ᶻᴵᵂᴬ
  6. screpa

    Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

    Sahivi wameanza kukata ukitoa kuanzia laki3
  7. screpa

    Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

    Nimefuatilia leo nimeambiwa unakatwa ukitoa kuanzia laki3, kwahiyo inabidi utoe 299,999 ili kuepuka makato
  8. screpa

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Sahivi hata utoe mara1 unachinjwa
  9. screpa

    DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Sahivi voda wanamkata mwenye Line ya Lipa akitaka kutoa kwa Wakala
  10. screpa

    Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

    Kudadeki; mimi nina line ya lipa leo nimetoa laki 495,000/= kwa Wakala wamenichinja 3500 ambapo awali ilikuwa ni free kutoa mara1 kwa siku, hizi Lipa Namba sasa ni rasmi zimekosa maana
  11. screpa

    Sikiliza hii ngoma ya Noorah 'BabaStyles' kwenye woofer, usipotikisa kichwa nidai bando

    https://youtu.be/txVBHF_kjhk?si=whyhDUs-5SsR0fj- Hilo dude lilisukwa buana, sikiliza beat ya Dunga, Sikiliza chorus ya mwanadada Mercy Myra, halafu unganisha na flow nzuri kwenye beat kutoka kwa Noorah aisee, hivi vitu adimu tutaendelea kuvimiss sana...
  12. screpa

    Mchekeshaji Nyanda Kabundi fanya haya

    Yaleyale 'Ushauri'
  13. screpa

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Mkuu inamaana umeshindwa kabisa kuusoma upepo wa wateja ulipo kwa sasa? Ukweli ni kwamba kwa upepo wa sasa ni ngumu sana kutoboa kupitia Blog, ukiwaona watu kama Millard Ayo/Mange/Global Publishers, nk ambao ni mablogger nguli wameamua kuwekeza nguvu Instagram na YouTube stuka hapo
Back
Top Bottom