Search results

  1. G

    PUGU nadhani JUMA WASISI mnamsoma......

    Pugu boyz bwana,kuoga ilikua kazi hadi usikie unanata,kuwa kiranja wa ulinzi hadi uwe unabeba nondo ili uwashikishe adabu wezi,TV ya shule ipo ila cku Nampanda akiunganisha anachukua kingilio mlangoni. Ukiongea na headmaster enzi hizo Shelimo kaa mbali nae coz ana makofi ya kushitukiza ni balaa.
  2. G

    Want to destroy your team? Bring in Wenger.

    Wenger won the best coach of the decade last year.
  3. G

    Jumanne kabwela

    Hivi kati ya jimmy kabwe na jumanne kabwela unapenda jina gani hapo?
  4. G

    Polisi wanaendelea kurusha risasi juu maeneo ya Mbezi kwa Yusuph

    Mimi ni mkazi wa mbezi kwa yusuf,nilichosikia hapa mtaani ni kwamba katika purukushani hizo kuna mwanafunzi alipigwa risasi ya kifuani na akapakiwa kwenye defender la polisi na kukimbizwa mjini,ss tarifa ambayo sina ni cofirmation ya hali ya huyo mwanafunzi bt from what i knw huwezi ukapigwa...
  5. G

    wana JF nakufa na kipaji changu tafadhali nisaidieni

    Iliboru special school ndo ipi hiyo?
  6. G

    Utapeli katika vyuo vya computer arusha.

    Kwenye technology unafundishwa basics hizo updates nyingine ni juhudi yako binafsi.
  7. G

    90 days at GREEN ACRES SEC SCHOOL

    Hayo aliyoongea ni ukweli mtupu coz mm nilisoma pale form five pcm nilivyoona mambo hayaeleweki nikahama. Bujugo anaweza akakuta wanafunzi wanasoma akawatoa darasani kwa lazima wakacheze muziki na wanafunzi wanafurahia tu.
  8. G

    Kipi ni chuo kinachotoa products zinazouzka sokoni hapa tanzania?

    Nafikiri kakuelewa,aende chuo chochote kinachotambulika kisheria akasome aelimike ili ategemewe na Tanzania siyo aitegemee Tanzania.
  9. G

    Modem ya mtandao upi itanifaa?

    Tuma neno INTERNET kwenda 15444
  10. G

    Enzi ulipokuwa boarding

    Kwa wale PUGU BOYZ wanakumbuka sana kwenda pondi na foleni za mihogo kwa mama pendo(RIP),bila kusahau watu tulivyokuwa tunakata weeks bila kuoga coz shule haina maji...mvua ikinyesha ndo kila mtu anavua nguo akaoge kwenye mvua.
  11. G

    Naomba anaejua hotuba za nyerere zilipo anijulishe

    jaribu kuchek na ofisi za TBC,huwa wanazo speech zake audio na visual
  12. G

    How to log into a windows protected non-administrator account

    hii kitu naijaribu kwenye window 7 inagoma,is there any alternative plz?
  13. G

    Ongeza spidi kwa 20% Aslimia

    this is great
  14. G

    Engineers wa St. Joseph College na GPA kubwa kubwa

    Nafikiri wewe ndo hujui maana ya university coz kua independent thinker haimaanishi usitume mda mwingi darasani,after all who told you kuwa university students ndo hawatumii mda mwingi darasani.
  15. G

    Engineers wa St. Joseph College na GPA kubwa kubwa

    nina rafiki yangu yupo st joseph ananiambia kuwa wao vipindi vinaanza saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni with just short kols and one hour lunch break every weekday na darasani wanaitwa majina(attendance) ukiwa below 85% then u r nt eligible kufanya end of semester exams,lecturer...
Back
Top Bottom