Search results

  1. R

    naomba msaada

    <p>&lt;p&gt; &lt;/p&gt;</p> <p>&lt;p&gt;&amp;nbsp;&lt;/p&gt;</p> <p>unachotakiwa kufanya ni ku rescue data zako kwa removable h/d na kuzihifadhi kwenye coputer nyingine kisha fomat kama nia ni kuifomati,mambo ya os mbili za nini? piga chini hiyo weka fresh!</p>
  2. R

    Vita dhidi ya rushwa Tanzania inawezekana?

    Huenda hujakutana nayo,lakini ni juzi tu tulikuwa na jamaa tunajadiri,rushwa iko kila kona,mahakamani,police,barabarani(trafic),hospitari,ofisi za huduma za kiserikali,n.k.je,pccb wanaweza maliza kitu hii au ........
  3. R

    Gari latumbukia Ferry Dar asubuhi hii...

    Ni kweli Uko sawa,ndio maana mara zote tunashauliwa kutumia busara zaidi ya akili tunapofanya maamuzi yetu,inasikitisha! lakini driver wa panton na walinzi wake wanatakiwa kufahamu ufahamu wa abiria wao na kuchukua tahadhari zaidi!
  4. R

    Kajubi mukajanga na gazeti la wakati ni huu

    Hi! mkimtaja kajubi mnanikumbusha mbali sana ndani ya riwaya zake,tafadhali kama kuna mtu ana namba yake ya simu anipatie,
Back
Top Bottom