Search results

  1. B

    Msaada kwa Sony Ericsson experia Go

    Wala sio chinese mkuu
  2. B

    Msaada kwa Sony Ericsson experia Go

    Habari ya leo Wakuu! Siwezi kuaccess contacts kwenye simu wala kupiga. nimefanya factory reset ila bado tatizo liko palepale. ukifungua contacts au call log inaandika "The application contact (process .comsonyericsson.android.social phonebook) has stopped unespectedely. Please try again"...
  3. B

    Msaada app ya vlc ya anroid plz

    Nashukuru mkuu kwa msaada wako
  4. B

    Msaada app ya vlc ya anroid plz

    Nimedownload VLB Beta ila nilipoifungua inanipa warning ambayo ikanifanya nisite kuitumia. Kujaribu VLC nyingine ikanipa same warning, na warning zenyewe ni *This version is not stable *Do not use it unless you know what your doing *It might kill your kitten and destroy your house *Use it at...
  5. B

    Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

    Hizi gari ukifuatilia historia yake si za toyota na zilitengenezwa na gmc marekan ili ziuzwe japan na wakaingia ubia na toyota kuweka nembo yao tu ili waziuze kirahisi japan. Ila hakuna mkono wala kifaa cha Toyota pale. Zilitengenezwa gari elfu kumi tu. Unapoamua kuinunua have idea of that...
  6. B

    gharama ya kutoa vitu bandarin nilivyonunua online

    Kama simu na nguo unalipia import duty na vat. Computer, vitabu mara nyingi hulipii, kwa vitu vinavyopitia posta inategemea na mtu wa tra utakayemkuta cku hiyo ambaye ndo anakukadiria kodi. Mara nyingi sana seller huwa haandiki bei halisi kwenye pakage kukusaidia mnunuzi kutokulipia kodi kubwa.
  7. B

    Natafuta simu

    Kwa anaeuza simu kati ya hizi Sony Xperia Acro S au Samsung nexus s (Ziwe mpya). Mwenye nazo anitafute please 0773094128
  8. B

    Msaada kwenye iphone

    haijakwapuliwa mkuu, tumebadilishana cm na mtu akanipa yenye contacts ndo ikawa tabu kuzifuta at once. Nashukuru kwa msaada nimefanikiwa
  9. B

    Msaada kwenye iphone

    Address book, i mean contacts nilizozisave kwenye cm nataka nizifute. Ziko nyingi sana nishindwa kuzifuta zote kwa mpigo
  10. B

    Msaada kwenye iphone

    Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kudelete majina yote kwa mara kwenye iphone
  11. B

    "Engineer" huyu kiboko...,

    Duh, hapo hamna injinia. Huyu atakua amezoea ku design mabanda ya njiwa..
  12. B

    Hizi Nazo!!!!!

    Halafu unakula music kwenye hii kitu..
Back
Top Bottom