Search results

  1. MkimbizwaMbio

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    hivi yale maandamano ya waislamu kuhusu NECTA yameishia wapi? Nasikia viongozi wao wamevuta mlungula wameamua kukaa kimya
  2. MkimbizwaMbio

    Laptops and Mobile phones for sale

    Haupo Serious. SONY VIAO Model Ipi?????
  3. MkimbizwaMbio

    Hivi ni kwa nini watu hawaipendi TRA?

    Wanasumbua walipa kodi badala ya kuwapa moyo wa kulipa kodi. Mfano ukitaka TIN Number inabidi uwanyentyekee badala ya wao kukunyenyekea wewe.
  4. MkimbizwaMbio

    Hivi ni kwa nini watu hawaipendi TRA?

    Mishahara ya Watumishi wao haifuati scale za Serikali kama ofisi zingine za Serikali.
  5. MkimbizwaMbio

    Hivi ni kwa nini watu hawaipendi TRA?

    Hawatendi haki. Hawakusanyi kodi kwa matajiri, kazi yao ni kufyonza maskini.
  6. MkimbizwaMbio

    Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

    hii tv ya ccm vipi ?? Mbona wanapiga story tu? Tbc1 safari bado ndefu
  7. MkimbizwaMbio

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    sasa umeandika au umeharisha? Mbona hueleweki?
  8. MkimbizwaMbio

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Hutokuja kushuhudia kusombwa kwa watu mikutano ya chadema. Hiyo ni mbinu ya ccm pekee. Usipotoshe watu hapa
  9. MkimbizwaMbio

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Kuna wakina mama wamejaa hapa ccm sinza wanakunywa chai na vitumbua waje hapa
  10. MkimbizwaMbio

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Matumaini yatakuwa makubwa sana. Si unaona vichwa vilivyopo? Sasa wasira, lusinde, nape ataisadia nini nchi hii???
  11. MkimbizwaMbio

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Kweli ccm inawadharau wajinga wake. Wanafanywa kama mizigo . Wanashushwa kama magunia ya vitunguu jangwani.
  12. MkimbizwaMbio

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Unawasifia wezi wa mali yako mwenyewe? Kweli kuna wajinga wengi nchi hiii
  13. MkimbizwaMbio

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Updates zipi mkuu kutoka ccm? Hakuna jipya, tangu uhuru wapo madarakani na nchi yaelekea kuzimu. Tazama hata wewe unakula mlo mmoja.
  14. MkimbizwaMbio

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    nasikia wale walioandamana jana wamehamasishwa wote waende leo jangwani. Ila wasivae vipedo kwani watepewa mavazi na ccm
  15. MkimbizwaMbio

    mkuu wa it baraza la mitihani asimamishwa kazi.

    Safi sana na tuweke muislam mwenzetu
  16. MkimbizwaMbio

    Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

    Kweli wewe ni kilaza wa kutupa
Back
Top Bottom