Search results

  1. E

    Intro

    Esther_M, angalau wewe umesema cha maana. Ukitegemea serikali watende, tutaendelea hivi hivi miaka nenda rudi. Unaonaje tukiunda vikundi vya kijamii ambavyo tutasimamia na kuwakumbusha hao viongozi. Nimeanza cha kwangu na ninaendelea kukaribisha wakereketwa. Lakini sitaki wasemaji, maneno matupu...
  2. E

    Intro

    Asante sana kwa kunikaribisha (kwa ukarimu wenu). Lakini nitafarijika sana kama tutajadili kwa kina kuhusu usafi. Kuna mmoja amesema hatuna cha kufanya ila tuangalie zaidi maisha ya baadaye. Nakubaliana naye, lakini ingekuwa hivyo, kulikuwa na haja gani mwanadamu kupewa utashi? Si tungekuwa sawa...
  3. E

    Uchafu Uliokithiri katika miji ya kibongo!

    Habari JF wote! Nina issue inanisumbua sana. Nayo ni kuhusu uchafu uliokithiri katika miji yetu ya kibongo. Katika hili nisingependa mtu alaumu. Kama ni makosa yalifanyika na kila mtu anajua. Ninachotaka hapa ni kitu gani kifanyike kwa sasa. Nataka mikakati ya ufumbuzi ili tusiendelee kuisha...
  4. E

    Intro

    Jina langu ni Esta. Nimevutiwa na forum hii kwa kuwa na majadiliano na mijadala ya kila aina. Natumai nitajifunza mengi. Nina issue inanisumbua sana. Nayo ni kuhusu uchafu uliokithiri katika miji yetu ya kibongo. Katika hili nisingependa mtu alaumu. Kama ni makosa yalifanyika na kila mtu...
Back
Top Bottom