Search results

  1. S

    Msaada aliyewahi kupata mafao yake ya NSSF kabla ya kustaafu, baada ya kuachishwa/kuacha kazi

    Kwa uzoefu nilionao siku hizi kuna mafao ya aina tatu kwa wale wanaokoma ajira kwa kuachishwa au kustaafu kama ifuatavyo:- 1: Kustaafu kwa lazima ni miaka 60. Kwa yule ambae amechangia miezi 180 na kuendelea mfuko wa NSSF atalipwa pensheni mkupuo na kila mwezi. Kwa yule ambae amechangia chini...
  2. S

    Naomba tujuzane namna ya uandaaji wa kinywaji cha "al-kasusu"

    Nikiwa Tanga mwaka jana nilisikia kuhusu kinywaji kiitwacho Al-Kasusu. Nilinunua na kunywa kinywaji hicho na kukuta ni kweli kinachangamsha. Nilijaribu kuulizia kinavyotengezwa nikaambiwa na wale wanouza kuwa wananunua unga wake (Al-kasusu) ambao wanapika na maziwa na kuunga kwa asali...
  3. S

    Zifahamu dalili na tabia ya Nchi Masikini

    Ha hahahaha.......
  4. S

    Mwinyi Mkuu Katundu atekwa na wanaodaiwa kuwa wanausalama, hajulikani alipo. Huu ni mtihani wa kwanza kwa Diwani Athuman

    Imetajwa kuwa watekaji walikuwa na silaha za moto. Ungelikuwa wewe ungefwata mkia? Hayo mambo sikia yakitokea kwa wengine usiombe yakukute.
  5. S

    TBS waondoa aina 16 za vipodozi vilivyopigwa marufuku kwa matumizi ya binadamu

    Ili kukomesha biashara hiyo itungwe sheria na kanuni ya adhabu kwa wapakaa mkorogo. Faini na kifungo kama ilivyo kwa katazo la mifuko ya plastiki.
  6. S

    59-Year-Old Couple Gives Birth To Healthy Baby After 38 Years Of Trying To Start A Family

    Huyo mkewe kajifungua akiwa ana umri gani. Kwa maana sura yake na umbo lake mke halionyeshi kuwa na umri wa miaka 59.
  7. S

    Mwenye kufahamu taarifa za Mh. Salim Amed Salim

    Ni siku nyingi zimepita Mh. Salim Ahmed Salim ambae amewahi kushika nyadhifa mbalimbali kubwa hapa Tanzania (ikiwamo Waziri Mkuu wa tano) na Afrika hajasikika. Mwenye taarifa zake atujuze tufahamu kuhusu kiongozi wetu
  8. S

    Lindi: Watu wanne wafariki katika ajali ya gari

    Tochi zipo. Kitomanga ipo barabara Kuu ya Dar - Lindi.
  9. S

    Huwezi kurejesha Utawala wa sheria kwa kuvunja sheria...!!

    [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

    275/70R16, 265/70R16 Bei gani Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    Maisha ya mkenya wa kawaida

    Nilienda Mombasa wakati wa Pasaka. Eneo la Bamburi Bia Za KBL ni Ksh 180 hadi 200 Sawa na Tsh 3960 - 4400: Mbuzi Choma au kukaanga kilo Ksh 700 same na kuku broiler Sawa na Tshs 15400. Matatu trip 50 Bob sawa na aTsh 1100/=. Wenzetu wana hali mbaya.
  12. S

    Suala la Msumbiji; Umoja Ndani ya Nchi Ukitoweka Jirani Anakuonea

    Nakumbuka tulikuwa na TAMOFA (Tz and Mzbq Friendship Association) ilikuwa na ofisi zake pale Mtaa wa Nkrumah (opposite Immigration Club na CoCabs kwa siku hizo). Sijui yenyewe ipo au imeishia wapi. Mwenye taarifa atujuze. Kama sikosei Kuna wakati Mh. Mkuchika alikuwa mmoja wa viongozi wake, nae...
  13. S

    Anguko la CRDB na NMB: Wakopaji wakuu mashirika na Serikali 40% na kashfa za vyeti feki (NECTA)

    Bima ya mikopo katika mabenki ni kwa ajili ya kifo au ulemavu wa kudumu na wenye kumpotezea uwepo wa kujiletea kipato mkopaji sio kuachishwa au kuacha kazi.
  14. S

    Tuyaone madhara na faida ya kuoa mzungu nikilinganisha na mwafrica anayenitesa

    Congo si ndio wanaongoza duniani kwa kuwa na dude? Kwa hiyo sio dawa wadada wa huko wanapata kitu roho inapenda mpaka inakuwa full kuachia. Wewe na bamia lako under 5 inch akugande nani?
  15. S

    Nyeti bandia za kiume (dildos) zapata soko kubwa Dar

    Ukiachilia mbali kutoza hela nyingi pia gharama za gesti zipo juu kwa joto la Dar atataka yenye A/c. Na bado mwanamke anataka anywe Heinken au Windhoek sio chini ya tano; nyama choma au kuku wa kienyeji n.k. Mwisho wa siku wakuta zaidi ya laki moja imeisha kwa mgegedo mmoja ambao si ajabu...
  16. S

    Android Tablets 3G with Calling Function

    Tuwekee Make, model yake na picha.
  17. S

    Tigo: Sasa unaweza kuunga vifurushi vya chuo popote

    Kifurushi kipo kwa maeneo ya vyuo tu. Sio kila sehemu.
Back
Top Bottom