Search results

  1. Julz

    Mkurugenzi wa TAKUKURU (Dr. Hosea) mgonjwa, yuko nje ya nchi kwa matibabu

    Sio poa kumwombea mwenzako kifo jamani...Jaribu kuwaza imekuwaje hadi wamefikia hali hiyo, what if hali iyo imewakumba kwa ajili ya positions walizonazo?? Get well soon Manumba and Dr Hosea
  2. Julz

    Wazee na vijana wenye busara na hekhima mnahitajika hapa, plz do not IGNORE.

    Kwa mila/taratibu za kiafrika mwanamke ndo anaanza kutambulishwa nyumbani kwa mwanaume (ingawa hii mara nyingi inafanyika kwa siri bila kuwashirikisha wazazi wa mwanamke). Hayo mengine yaliyobaki inategemeana na kabila/mila au utaratibu wa familia ya mwanamke...kwa urahisi unaweza ukaongea na...
  3. Julz

    Tips za kupata mtoto intelligent, strong giant and all about sex...

    Eti "perfume sio nzuri coz yai la uzazi la mwanamke hupendelea harufu mbaya namazingira machafu ndio maana wanawake wachafu ni rahisi kwa wao kupata mimba nyingi tofauti na wale wasafi sana" hahaha!! Umesema huyo ni mwalimu wa biology au mganga wa kienyeji??
  4. Julz

    nifanye nn

    Yaani best friend wako ni msichana?? Tena ni rafiki wa gf wako...Kwa kweli enzi zetu hatukuwa ivyo, sina ushauri zaidi ya kukuambia soma kwa bidii!!
  5. Julz

    Najuta kumfahamu huyu binti

    Nakushauri tu usilogwe ukamuoa huyu binti...atakuua kwa pressure!! Yaani binti akishajua huzungushi kwake mbona utakoma!! Na infact unaonekana bado hujakomaa ktk mapenzi ya hii dunia, tuliza ball achana na mambo ya kupanga muda wa kuoa (sijui miaka miwili) when the right time and the right...
  6. Julz

    Napinga sehemu ya malipo ya Lema...

    Vikwazo yuko sahihi kabisa, Mhe. Lema hapaswi kulipwa fedha ambazo si stahili yake kwa sasa. Mfano mtumishi hawezi kudai hela ya posho (per diem) for instance pale anaporejeshwa kazini eti kwa kuwa tu ilikuwa imepangwa aende safari ya kikazi kabla hajasimamishwa!! Lema akipokea fedha hizo naye...
  7. Julz

    For JamiiForums Mobile users

    Sijaelewa ebu rudia tena... Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. Julz

    sihitaji kuolewa je ni tatizo?

    Mi nakushauri kama imeshindikana kuolewa basi jaribu kuoa...kuna wanaume wamejaa mitaa siku hizi wanasubiri kuolewa!! Sent from my BlackBerry
  9. Julz

    Nimueleweje? msaada tafadhali

    Hahahaha!! Kumbe wanaume wenye wivu bado mpo? Kama kutowasiliana nae kwa siku moja tu ushaingiwa na wasiwasi kuwa unaibiwa ina maana humwamini huyo mpz wako...remember that love is trust!!
  10. Julz

    What's Your Favorite Breakup Song?

    Aisee nilikuwa natafuta jina la huo wimbo #1 for years...Tanx!
  11. Julz

    What's Your Favorite Breakup Song?

    1. Go On Girl-NeYo 2. Heartless-Kanye West 3. Thank You-Estelle 4. I learn from the best-Whitney 5. Goodbye My Lover-James Blunt 6. Wild World-Maxi Priest 7. The loneliness-Babyface 8. What If-Babyface 9. Till You Do me Right-After 7
  12. Julz

    What's Your Favorite Breakup Song?

    Kigeugeu-Jaguar
  13. Julz

    Je, tunahitaji Vazi la Taifa?

    Mimi ata umuhimu wa hiyo wizara ya Vijana, Utamaduni na Michezo siuoni...Vazi la taifa sio kitu cha kutafuta ni you either have it or you don't, period!!
  14. Julz

    Exclusively Tanzanian: Total package of public employee is far higher than private employee

    Mi nadhani hapa mtoa hoja angeweka na mifano kadhaa ili kuprove point yake....mi naamini huwezi kulinganisha mshahara wa mwanasheria/wakili wa IMMMA Advocates na wa ule wa mwanasheria/wakili wa serikalini.
  15. Julz

    Songwe International Airport

    Kwa ujumla, nyanda za juu kusini zina potentials zifuatazo, ambazo ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi wa nchi. 1) Kilimo (Mazao ya Biashara) -Chai (Njombe, Mufindi, Rungwe) -Kahawa (Rungwe, Mbinga, Mbozi -Pamba (Chunya) -Kakao (Kyela) -Tumbaku (Chunya, Kilolo, Sumbawanga) -Pareto (Mufindi...
  16. Julz

    Samwel Sitta ampiga bao Lowassa urais 2015

    Hahahaha!! hii nimeipenda aisee....
  17. Julz

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Hapa ndipo Lowassa anaponishangaza siku zote...watu wanadai hawampendi but they are still talking about him more than they talk about other politicians!!I think he's the next presidential candidate kwa upande wa CCM...
  18. Julz

    Kijana wa kiume fanya hivi kumvutia mwanamke ...

    Nahisi wewe huwajui vizuri waischana au umezoea kutongoza mahouse girl...mtazamo wangu tu!!
  19. Julz

    Bungeni: Ngeleja atoa hotuba kali na yenye amri

    Ngoja tusubiri utekelezaji...ila viongozi wale wale siku zote hutoa maamuzi yale yale kwa matatizo yale yale ambayo yanatengenezwa na watu wale wale!!!!
  20. Julz

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Bila shinikizo letu wananchi hizi posho itakuwa ngumu kufutwa....nani anayependa kujipunguzia mpunga??sana sana wataibadilisha jina tu....
Back
Top Bottom