Search results

  1. M

    Nyimbo za majibizano Mwanaume na Mwanamke

    Tushirikishane nyimbo za majibizano kati ya mwanaume Na mwanamke Mfano: Barnaba song Meseji Foby Song Kitanda Kidumu song Nitafanya Tushirikishe unazozifahamu
  2. M

    Ushauri mzuri kwa taifa langu la Tanzania

    COVID-19 Nikirusi kinachotishia uhai Na uchumi Wa dunia kwa sasa. Tanzania nchi Yangu tunao uwezo Wa kufadhili chaguzi kitaifa kuwachagua viongozi Wa kisiasa USHAURI WANGU, Kwanini Nguvu Na pesa hizo tunazotumia kwenye mambo kama ya uchaguzi kitaifa zisitumike kuamu KILA MWANANCHI APIMWE KAMA...
  3. M

    Polisi Hawaoni au Nikutokujua?

    Staki kuandika maneno mengi, ila nashangaa!!!! ina maana police hawajui kuwa Dawasco huwa wanapakaa ofisi zao hii Rangi? Tunashindwa kutofautisha Polisi na dawasco. Nashauri Polisi wapakae vituo vyao kwa Chini Rangi ya dark blue, kutofautisha na dawasco ambao kwa Chini wanapakaa light blue...
  4. M

    Waliokutana na kadhia hii ya Trafiki, ungana na mimi kukataa!

    Tabia ya kusimamishwa na traffic kuombwa Leseni halafu ndo anakukagua, akikuta kosa na hana Mashine ya kukuandikia fine, traffic anachukua namba za Leseni na Gari, kisha anakuruhusu ondoke bila kukujulisha kama atakwenda kukuandikia halafu baadae anakwenda kukuandikia kosa bila ya Wewe kujua...
  5. M

    Natafuta apk za hizi apps

    Wakuu wa technologia naomba msaada wenu, Naomba atakaye niwezesha kupata apk ya hizi paid apps kwenye google play store Betting tips HT-FT VIP SUPERTIPSMAN SPECIAL VIP EXPERT BETTING TIPS PREMIUM Naomba kuwasilisha. Wazee wa mautundu kazi kwenu nisaidieni kuzipata hizo apk
  6. M

    Je, huu ni uungwana? Trafiki wanaandika faini ya makosa ambayo huna halafu siku nyingine wanakudai

    Hivi umesimamishwa na traffic, akakuomba akukague, ukaridhia bila shida. Akakagua vibali vyote viko sawa,Akakuomba Leseni ya udereva ukampa, akauliza reflect ukampa, fire extinguisher ukampa, ila katika kukagua fire extinguisher akasoma akakuta imesha expire, ukamuomba samahani sikujua kama...
  7. M

    Tabia ya trafiki kukamata magari na kuyatoza faini kwa kosa dogo imekaaje?

    Habari za muda huu wana jf.Nina Swali naomba kujibiwa.Hivi INAWEZEKANA nchi yetu hii Tanzania Magari yote yakawa mapya nchi nzima?Niulize kwa nini nimeuliza hili swali! Nimeuliza hili Swali kwa kuwa kuna maafisa wetu wa barabarani wanakamata Magari kwa kosa Dogo tu na kutoza fine bila ya...
  8. M

    Kero za Traffic Police: Kupigwa faini kwa namna hii, inawezekana au ni uonevu?

    Habari za muda huu wana jf.Nina Swali naomba kujibiwa. Hivi INAWEZEKANA nchi yetu hii Tanzania Magari yote yakawa mapya? Niulize kwa nini nimeuliza hili Swali? Nimeuliza hili Swali kwa kuwa kuna maafisa wetu wa barabarani wanakamata Magari kwa kosa Dogo tu na kutoza fine bila ya huruma. Kwa...
  9. M

    RETRIEVAL MY WD EXTERNAL DATA

    Habari za leo wana jamvi, jamani nina tatizo naombeni msaada wenu. Nina external storage ya WD, ambayo haisomi tena nikiconnect kwenye computer, kuna data zangu zimo humo ndani, nisaidieni kama naweza kuitengeneza ikatumika tena au kama haiwezi kutengenezeka, data zangu kuna namna yoyote ya...
  10. M

    Naomba mnisaidie kuupata huu wimbo

    NAOMBA MNISAIDIE KUPATA HUU WIMBO SALAMU ZANGU-IRENE SANGA ft MRISHO MPOTO na ELIDADI MSANGI
  11. M

    Tembelea hii link ya mapesa

    jamiiforums.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people Bonyeza hiyo link hapo juu, ujishindie point, Watumie watu kupitia Whatsapp, twitter,Google na mitandao yote ya kijamii kukusanya points, kadiri uwatumiavyo watu wengi ndivyo unavyo jiongezea points...
  12. M

    Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wa kike, mpole, mkweli, mwaminifu, sichagui dini, kabila, wala elimu yake, kama upo tayari ni pm ili tuweze kuwasiliana na kufahamiana zaidi. KARIBU
Back
Top Bottom