Search results

  1. M

    POST GRADUATE DIPLOMA OF ECONOMIC DIPLOMACY

    Inapatikana chuo Cha diplomasia kurasini pale
  2. M

    POST GRADUATE DIPLOMA OF ECONOMIC DIPLOMACY

    Wadau naomben kuuliza hii course ya diplomasia ya uchumi vip kuhusu nafas zake za ajira hapa tz?
  3. M

    Uchambuzi: Nia ya msajili wa vyama vya siasa kufuta usajili wa kudumu wa ACT - Wazalendo

    *KUFUTIWA USAJILI WA KUDUMU ACT- WAZALENDO* SEHEMU YA KWANZA NIA YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUFUTA USAJILI WA KUDUMU WA ACT-WAZALENDO (UCHAMBUZI) 1. Utangulizi Kabla ya kutoa uchambuzi juu ya nia ya msajili wa vyama vya siasa kukifuta chama cha ACT-Wazalendo, akizingatia sheria ya vyama...
  4. M

    Maombi ya kumtaka Jaji Ndyansobera ajitoe kusikiliza mashauri ya CUF yamekataliwa

    FROM HIGH COURT Maombi ya kumtaka Jaji Ndyansobera ajitoe kusikiliza mashauri ya CUF yamekataliwa na kutupwa. Jaji ataendelea kusikiliza mashauri yote kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria nyingine za nchi. "Kujiondoa kusikiliza kesi sio jambo jepesi kama...
  5. M

    Sura mbili za mbunge wa Tanga Mussa Mbaruku

     Mbunge wa jimbo la Tanga Mjini na kiongozi mwandamizi katika Chama cha Wananchi (CUF), Mussa Bakari Mbaruku huenda akaingia matatizoni baada ya msimamo alioutoa kuhusu kinachoendelea ndani ya chama hicho, kupingwa na wenzake wilayani, anaandika Mwandishi wetu. Kwa mujibu wa taarifa ya...
  6. M

    Waraka maalum aliouandika Maalim Seif kwenda kwa jaji Francis Mutungi

    Waraka maalum aliouandika Maalim Seif kwenda kwa jaji Francis Mutungi THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) Office of Secretary General P.o.box 3637, Zanzibar, Tanzania. Kumb.Na.: CUF/HQ/AKM/003/017/08 Tarehe : 16/8/2017 Mhe. Jaji Francis...
  7. M

    Chama cha wananchi-CUF: Mualiko wa kuhudhuria mkutano na katibu mkuu Maalim Seif

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-CHAMA CHA WANANCHI) Mualiko wa kuhudhuria Mkutano na KATIBU MKUU Maalim Seif: Kesho Jumatano Tarehe 28 June, 2017 katika Ofisi ya Wabunge wa CUF- Magomeni, kuanzia saa 7 mchana Maalim Seif atakutana na Wajumbe wa BKUT, Wabunge, Madiwani, viongozi na wanachama...
  8. M

    Prof. Lipumba na mtazamo potofu juu ya dhana ya ufisadi

    Juzi Tarehe 11/5/2017 Lipumba, John Cheyo, Agustino Liyatonga Mrema na wengine wachache waliojinasibu na kujipambanua kuwa ni viongozi wa vyama vya upinzani nchini walihudhuria dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na mwenyeji wake Rais Magufuli Ikulu, Dar es Salaam...
  9. M

    Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Asubuhi hii nimesoma orodha ya "madawa ya kulevya" yaliyokamatwa kwenye upekuzi makini na wa kisayansi wa polisi wanaofanya kazi zao kwa weledi wa hali ya juu kabisa wakiongozwa na uzalendo mtupu na uzalendo pekee huko nyumbani kwa mshukiwa mkubwa anayetaka kuliangamiza taifa, kisha nikajisifia...
  10. M

    Wakati akihitajika Leo Polisi, Mbowe aonekana Dodoma na Mabalozi wa Ulaya

    Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa jimbo la Hai, Mhe. Freeman Mbowe akiongea na Wabunge kutoka Bunge la Ulaya, David Martin, Gerrard Quille, Balozi wa Umoja wa Ulaya Tanzania, Roeland Van De Beer na Waziri Kivuli wa Mambo ya...
  11. M

    Naombeni ushauri wa kisheria

    Natumia simu anyway
  12. M

    Naombeni ushauri wa kisheria

    Sawa ntapataje private contact zako. Tuwasiliane?
  13. M

    Naombeni ushauri wa kisheria

    Sjakupata mkuu niku pm ndo nini
  14. M

    Naombeni ushauri wa kisheria

    Nimefungua kesi mahakama kuu dhidi ya eco bank. Kuna mtu amefoji title kwa jina la marehem mzee wangu ambae amefariki miaka 15 nyuma. Huyo mtu amekopa bank 250m na akaweka dhamana. Mwishowe bank walinivamia kutaka kuuz nyumba yangu. Ndipo nikaidhtak bank. Kwa sasa ipo ptc ya mwisho kisha...
  15. M

    Kwanini sikubaliani na alichokisema Rais Magufuli kuhusu Jumuia ya Madola

    Leo nimelazimika kusema haya ili angalau mzee huyu apunguze usanii na ghiriba kwa WaTz kuhusu serikali hii. Mtakumbuka siku ya kufungua Bunge na kumuapisha Waziri Mkuu mpya Mhe. Kassim Majaliwa, Magufuli akiwa mgeni rasmi alichezea akili za wananchi kwa msaada wa Ndugu Buhohela akiwa pamoja...
  16. M

    Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili. Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS...
  17. M

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Hebu tafakari kwa kina kuhusu vitanda vya Muhimbili, Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili. Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta...
  18. M

    Hotuba ya Rais Magufuli akifungua rasmi bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Novemba 20, 2015

    Ukimsikiliza John Pombe Magufuli, unaweza kudhani kuwa kabla yake hakukuwa na serikali iliyokuwa inaongozwa na chama chake na viongozi wenzake. Mambo yote anayoongea ni yale yale ambayo marais wenzake Mwinyi, Mkapa na baadaye Kikwete waliyaahidi kwa msisitizo mkubwa lakini baada ya miaka mitano...
  19. M

    Nani anaiongoza Tanzania, Pombe Magufuli au Jakaya Kikwete?

    Nani anaongoza Tanzania, Magufuli au Kikwete? Sote tunafahamu kuwa John Pombe Magufuli, maarufu kama JPM, ndiyo aliyechaguliwa na kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano. Hilo halina ubishi wala mjadala. Pia Jakaya Mrisho Kikwete, maarufu kama JK, ni Rais wa Awamu ya Nne aliyemaliza muda wake...
Back
Top Bottom