Search results

  1. U

    More Gold in Tanzania... People remain poor!

    I think we poor becouse we dont have vision (our leaders) we dont know how to set our priorities I men we dont know what should be done first what shuold follow Ufisadi No commitment
  2. U

    Maadui wa Watanzania: Aongezeka mmoja

    Wana JF Kwa muda mrefu tumekuwa na maadui watatu yaani Ujinga, maradhi na umasikini na tumekuwa tukipambanao mimi kwa mtazamo wangu ni kuwa ameongezeka adui mwingine ambaye CCM nasema hivyo kwa sababu CCM haijui kwanini Tanzania ni masikini na kama hujui tatizo hilo la umaskini si rahisi kuwa...
  3. U

    Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

    Sisi Watanzania wajinga ndio tuliwao
  4. U

    Kwa Dr. Slaa (PhD) ni UDINI kwa Mch. Mtikila SIYO UDINI mmhh hapa kuna jambo si bure!

    Halina ubishi kwa sababu Mungu siku zote huwa upande wa wenye haki
  5. U

    Kwa Dr. Slaa (PhD) ni UDINI kwa Mch. Mtikila SIYO UDINI mmhh hapa kuna jambo si bure!

    Hivi kweli kumbe kuna watu wenye mawazo kama haya. mwalimu nyerere alisema watu waliofilisika kiakili wanajielelekeza kwenye udini wakishwindwa kwenye ukabila hawa si wajinga ni wapumbavu kabisa.
  6. U

    Inauma: 'Alisema tusimpige picha'... Angesema mvue nguo!!

    Ana hoja tena ya msingi kwelikweli waandishi wanaambiwa wasipige picha nao wanakubali wangetoka nje. Tatizo wengi walikuwa wa type ya Kibonde.
  7. U

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    Tumeshaingia mkenge tuvumilie kwa miaka mitano au tusubiri mkono wa Mungu ufanye kazi yeye mwenyewe akipenda atuondolee hili ballaa
  8. U

    Mheshimiwa Rais, tafadhali soma hapa!

    Alishaji jibu hili nataka wanikumbuke kuwa niliwakuta hapa na kuwapeleka pale---hata ukirudishwa nyuma kimaendeleo usishangae lengo alikuta hapa akupeleke pale
  9. U

    Maswali magumu kuhusu dowans

    Nashukuru nimesoma nakala ya hukumu ya mahakama ya kimataifa kuhusu suala la DOWANS vs TANESCO. Hadi sasa nipo katika kipengere cha 337 lakini nimeshangazwa namna nchi yetu ilivyoharibika halafu kwa ujasiri wa ajabu Rais Kikwete anasema hawajui wamiliki wa Dowans. Kuna mambo wakati mwingine...
  10. U

    Mwakyembe, Sitta waombe radhi watanzania

    Hapo kwenye red si kweli mnyika hajashauri mitambo ya mafisadi inunuliwe ila hilo zao la mafisadi (J.makamba) ndiye aliyeshauri mnyika ameseme hatuwezi kukaa gizani na mitambo ya wahujumu uchumi iko pale itaifishwe na iwashwe. mnachokosea WJF ni kuwa majaa yamejipanga kujisafisha na yameweka...
  11. U

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Mimi nilkuwa hapo kombania D kuna mtu alikuwa anaitwa afande Mazani huyu bwana kwa toos alikuwa nia hatari nadhani historia yake unakumbuka ilikuwa inavuma kambi nzima. Alafu nakumbuka tulikuwa tuaamka usiku kula kiporo cha wali maarufu kama "Kijogoo" pila jeshini tuliwaza hata kula mayai...
  12. U

    Januari ashangaa wabunge wengine wamefikaje Bungeni?

    Alikuwa anachangia hutuba ya Rias akamnukuu mwanasiasa wa marekani aliyeingia Bungeni kwa mara kwanza kuwa mwaka wa kwanza na wapili hakuzungumza alipoulizwa kulikoni akajibu alikuwa anajifunza mwaka wa kwanza alikuwa anashangaa amefikakafikaje mjengoni, mwaka wa pili alikuwa anashanga baadhi ya...
  13. U

    Januari ashangaa wabunge wengine wamefikaje Bungeni?

    Wana JF nimeshangazwa sana na kauli za Januari Makamba wakati akichangia Hotuba ya Rais. Jamaa baada ya kubebwa na kupewa ubunge na mafisadi anajiona kuwa uwezo wake ni mkubwa wa uelewa wa mambo kiasi cha kuwashangaa wengine eti wamefikaje humu bungeni. Nilivyo muelewa mimi ni kuwa kwa kuwa...
  14. U

    Ccm na chadema, nani atatuangamiza katika hili??

    hapana nakataa wale wote wenye akili na ufahamu hawakuchagua ccm ila wamechakachua
  15. U

    Taarifa ya Mh.Godbless Lema bungeni.

    Uwongo mwingine ni pale aliposema kuwa ccm wako 16 chadema 14 kwa mazingira hayo lazima ccm wangeshinda inawezekana kabisa kwa madiwani wa ccm kpigia cdm
  16. U

    Naliona anguko la Kibanda

    hili gazeti linaendeshwa kibiashara na Mbowe sio mmiliki peke yake ila anahisa na wamemkabizi jamaa aliendeshe kibiashara sasa naona jamaa keshavuta za mafisadi na mshikaji wake zito anataka kuliharibu gazeti na akorofishane na wamiliki ili ahame kampuni au anzishe lakwake akiwa ameliuwa TZ...
  17. U

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    2015 CCM kupoteza madaraka kwa kasi ya kimbunga
  18. U

    CHADEMA tumuunge mkono Kikwete kwa mambo mazuri kwetu na kwa Taifa

    Ni Rais mwenye upendo kwa Watanzania kwa kuwa anajua jinsi CCM ilivyooza bila kuondoka madarakani nchi haiwezi kupata maendeleo na katumia akili sana kukiuwa chama cha CCM bila watu kujua strategy zake kama ifuatayo; kuwakumbatia mafisadi ili kuamsha hasira ya Watanzania ili kuichukia CCM moja...
  19. U

    Elections 2010 JANUARY Kupewa kamati ya NISHATI bungeni: What is next?

    Hapo hamkumuelewa Januari Makamba maana ya kuandika waraka ule alikuwa anapiga kampeni ili achaguliwe M/kiti wa kamati sasa subirini.
  20. U

    Mbowe vs Ndugai live on TBC1

    hoja hapa mkuu ni kwamba wametafsiri kanuni kwamba kambi rasmi bungeni ni wapinzani wote hivyo kuwazesha wapinzani kugombea uenyekiti wa kamati muhimu tatu zinazotakiwa kuongozwa na upinzania bila kupitia kwa kiongozi rasmi wa upinzani bungeni. Kwa kuwa CUF,NCCR,UDP na TLP ni vibara wa CCM...
Back
Top Bottom