Search results

  1. Columbus

    Nauza kituo cha kuuzia mafuta kinauzwa

    Kutokana na shida zangu binafsi nimeamua kuuza kituo cha mafuta maeneo ya Mlandizi,eneo lina hati kabisa. Mijengo iliyopo ni ya kumalizia na pampu za mafuta ziko stoo ukizihitaji tutaongea. Mwenye nia ni pm!
  2. Columbus

    Mmachinga kaniuzia kanyanga,nimfanyeje?

    Alikuja ofisini kwangu akanitangazia biashara yake ya vitu mbalimbali ikiwemo ya power bank. Kwa kweli nilikuwa na mpango huo ndipo nilipomuagiza aniletee power bank yenye uwezo mkubwa kwa ajili ya tablet yangu. Nilipomkunbushia aniletee aliomba nimfuate alipo ndipo aliponikabidhi hiyo power...
  3. Columbus

    Kudhibiti mali za Umma: Madawa, magari, samani, pembejeo, miundombinu nk viwekwe alama maalumu ya S

    Katika awamu hii ya tano ya Mh. Magufuli napendekeza mali na vifaa vyote vya umma viwekewe alama maalum pale vinapotengenewa ili kudhibiti wizi na hujuma zinazofanywa na watu,watunishi wasiokuwa waaminifu. Mojawapo ya vitu vilivyochangia serikali kuzorota ni katika eneo hili. Niliwahi kufanya...
  4. Columbus

    Magufuli akiri push up kumpotezea muda!

    Mgombea wa ccm Mh. John Pombe Magufuli amekiri kuwa push up anazopiga pamoja na wapambe wake majukwaani zimekuwa zinampotezea muda. Aliyasema hayo jana akiwa Misugwi ambako alikuwa anajinadi kwa tiketi ya ccm kuwania urais wa Jamhuriya Tanzania.
  5. Columbus

    Wajibu wa waangalizi wa nje katika uchaguzi

    Hata leo hii nimesikia waangalizi 37 kutoka SADEC wamewasili na watasambazwa katika miko 21, hivi hawa waangalizi wanakuwepo katika vituo vya kupiga kura? Je, wanakuwepo wakati wa kuhesabu kura?
  6. Columbus

    Incubator kama hizi zinahitajika haraka!

    Kufuatia bandiko hilo hapo chini,incubator kama hizi zinapatikana wapi?
  7. Columbus

    Wajibu wa TAKUKURU katika Uchaguzi 2015

    Naamini chombo hiki kikisimama imara katika nafasi yake maswala ya rushwa katika zoezi la kampeni,zoezi la mawakala wa kuwakilisha vyama katika kuhesabu kura litaenda vyema. Lakini kama tukienda kiholela uchaguzi huu huenda fedha ikatwala na hivyo haki haitatendeka. Nawaasa NEC wasione tabu...
  8. Columbus

    Vijana: Bomu alilotabiri Lowassa laitesa CCM!

    Nakumbuka kauli hii ya Lowassa aliitoa akiwa bungeni miaka kadhaa iliyopita,kuna anayekumbuka? Haya ndio maono ya kiongozi mahiri kama alivyokuwa baba wa taifa wakati akiongea watu walikuwa hawamuelewi lakini leo hii tunayaona. Tofauti na baadhi ya viongozi wengine,wakipanda majukwaani ni...
  9. Columbus

    Vijana eti hatujitambui !

    Mgombea wa uongozi anadiriki kusema eti vijana hatujitambui na wakati huo huo anaomba kura,hii imekaaje? Ina maana kama tutamchagua yeye ndio tutakuwa tunajitambua sivyo? Sisi tumeshaamua siku nyingi,siku mlipo tupuuza,siku mlipo tupiga,siku mlipo kataa kutusikiliza,siku mlipo tuibia,siku...
  10. Columbus

    Ombi kwa NEC: Masaa 12 hayatatosha kupiga kura

    Kutokana na idadi kubwa sana ya wapiga kura mwaka huu tunaitaka Tume ya Uchaguzi NEC iliangalie suala hili kwa makini kwa sababu haitaelewela kuwaambia watu wasipige kura kwa kisingizio kwamba muda umeisha wakati watu wako katika foleni tangu alfajiri au usiku. Kama NEC watazingatia hilo...
  11. Columbus

    Nipo tayari kubeba hukumu ya Mramba na Yona!

    Kwa mwenye mawasiliano ya simu,email nk awataarifu viongozi hao niko tayari kwenda jela kwa niaba yao ikiwa itakuwa ngumu kwao. Ikiwa watalipa hiyo faini pamoja na kuniingizia katika akaunti yangu kiasi cha shilingi biliono 1 tu kwangu niko tayari.NAWASILISHA!
  12. Columbus

    Msiba:Mama Eugine Mwaiposa hatunaye!

    Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar; Mama Eugene Mwaiposa, amefariki Dunia leo majira ya saa 4 asbuhi Mjini Dodoma. Chanzo hakijafahamika. Soma http://goo.gl/UoUk
  13. Columbus

    Hati miliki ya nyumba Kinondoni

    Hati miliki ya nyumba inahitajika haraka ndani ya miezi 3, kwa bei isiyozidi mil.5. Kwa anayeweza mchakato huo anitumie private message.
  14. Columbus

    Damu ya hedhi ni hatari?

    Leo kuna jamaa mmoja nimemsikia akisema wanawake wa baadhi ya makabila hapa Bongo wanaitumia damu hii kuwaangamiza waume zao waliowachoka. Alinitajia makabila hayo ambayo kwa kweli yana kashfa za kutozeeka na waume zao hasa pale wanapokuja kuwa na fedha. Ukienda mikoa fulani hapa Bongo...
  15. Columbus

    Usafirishaji mizigo kwa meli SA-TZ

    Kama **** shipping line kati ya South Africa na Tanzania upo?ngarama za kusafirisha pick up unacheza katika kiwango gani?crate lililobeba pikipiki inakuwaje gharama zake? Kuna agent aliyeko hapa Dar es salaam? Kama kuna usafirishaji mizigo kwa malori ningependa kujua pia!
  16. Columbus

    OSHA kweli inafanya kazi kikamilifu?

    Mkurugenzi wa OSHA Dr.Ikwilima anadai kwamba usalama mahali pa kazi ni matakwa ya kisheria,je anafahamu kwamba kampuni nyingi hapa Tanzania hazikidhi mazingira salama ya kazi? Tueleweje pale tunapoona mazingira hatarishi na vifo pamoja na kuumia kwa wafanyakazi wa maeneo husika,ni rushwa...
  17. Columbus

    Failure to download apps

    Once I attempt to download certain apps in my android I always experience failure message "Your content-filtering does not allow you to download this application" I have checked the "unknown sources" Anyone has an idea on overcoming this!
  18. Columbus

    Katika hili Sheria inasemaje ?

    Mwaka jana mwezi August-September nilikuwa nahitaji fundi wa kupaua nyumba yangu, kwa bahati nzuri jirani yangu alikuwa anamfahamu fundi fulani nikachukua namba yake ya simu nikamuita. Baada ya kuitathmini kazi yangu alisema anaiweza na baada ya muda mfupi aliianza ikiwa vifaa vyote pamoja na...
  19. Columbus

    Delivered from Boko Haram's spirit!

    A person introduced himself as Boko Haram member stepped inside the church SCOAN Nigeria,TB Joshua interrogated him thoroughly and it was confirmed that their plan was to kill souls of church members. The person finally was delivered from evil spirit,he vomited poisonous substance,TB Joshua...
  20. Columbus

    Wizi mpya: Kaeni chonjo!

    Jana nilipata kisa kimoja kutoka kwa my wife,alipotoka kanisani alikutana na vijana wawili waliokuwa wamevalia sare za kampuni ya simu ya Vodacom wakidai wanasaidia wateja wao kuunganishiwa huduma za internet. Baada ya my wife kuwakabidhi simu yake waliifungua na kuirudishia na kumuahidi...
Back
Top Bottom