Search results

  1. Ulimate4

    msaada wa haraka plz

    kwa yeyote atakayekuwa na namba ya simu ya R C O wa sasa wa mkoa wa arusha anisaidie .
  2. Ulimate4

    chemchem zimekauka kilimanjaro

    Kaa chini mtafute njia m-badala ,pia kuondoa fikra kuwa kila kitu unaweza kukigeuza fedha, ukianza na wewe mtoa hoja anza kuonesha mabadiliko na uhamasishaji juu ya hilo, utunzaji wa vyanzo vya maji na mazingira kwa ujumla.
  3. Ulimate4

    Ninahitaji msaada wa haraka juu hili wanajukwaa !!!

    Habari zenu wadau wa jukwaa hili, nina hitaji ushauri kuusu tatizo ili ,mi kijana wa kiume ,umri wa aka 27 ,ni hivi huwa ninapokuwa nikifanya tendo la ndoa na wife,nakuwa najikuta ninawahi kufika kileleni haraka kuliko mwenzangu ,kitendo ambacho kinanisababishia mtafaruku ktk mahusiano yangu na...
  4. Ulimate4

    Ninahitaji ushauri wa haraka wadau wa jukwaa hili!!

    Ninahitaji ushauri wenu wa haraka wadau wa jukwaa hili ,nina msichana ambaye nilianzanae mahusiano kama wapenzi mwenzi mmoja ivi uliopita ,ananipenda nami pia nimempenda ,lakini katika muda huo tulokuwa pamoja hatujawahi kujihusisha na kufanya mapenzi , kumejitokeza tatizo ambalo ninashindwa...
  5. Ulimate4

    Kwanini spika anazima hoja ya kujadili mgogoro wa Madaktari?

    Spika yupo maalum kwa maslai ya ccm, na si ya kitaifa kama unavyodhani !
  6. Ulimate4

    Elections 2010 Madhara ya kutokumtambua Rais

    Bora ulitumia mawazo yako mwenyewe,ungepata kichapo mjomba.
  7. Ulimate4

    ushauri wa haraka jamani unahitajika

    Huyo jamaa hana budi,bali ni kubali dini kuwa muislam kama kweli anania .laukama itakua tatizo kwake bas aombe kutoa hoja.
  8. Ulimate4

    Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

    Umesahau 1,wasichana wasasa wanasubiri Wanatafuta wazee ,kwa udi na uvumba ,eti kuwa wazee lazima wanahela za mafao,na kuwakimbia vijana ,kwa sasa hii ndio ndoto yao kubwa.
  9. Ulimate4

    Hello:

    Hodi kwa wanJF wote tz, mmmm ni matumaini yangu kwamba tutakua pamoja ktk hili jukwaa la JF,maomba ushirikiano wenu na idhini yenu kuutambua uwepo wangu hapa,ahsante
  10. Ulimate4

    Bunge la 10 likiongozwa na mwanamama Tegemeeni kusikia haya hapa kwa Spika

    Muheshimiwa unanikata shangaa?muh: utakufanalo kijiba cha rohooo
  11. Ulimate4

    Jamani nipeni RUKSA mama wa miaka 56, i am 24yrs

    Usijiaribie utu wako ,hiyo ni kitu ambacho utakijutia utakapo kifanya,ridhika na gf wako 1,anakutosha,mwambie live kuwa haumtaki ,heshima idumu. Kuwa mwanaume.
  12. Ulimate4

    Ubunge au Uwakilishi?

    Mmmm itambidi amuone shekh yahya hussein ,ampe japo jini mmoja kwa ajili ya kugawana kufanya hiza kazi,pekeyake itakua ni 1.0
  13. Ulimate4

    Elections 2010 List ya Viti Maalum CCM: Efraim Kibonde Yumo??

    Kwani mabere marando si wa upinzani (chadema),inakuaje hiyo?
  14. Ulimate4

    Elections 2010 Spika Sitta Ukifanyiwa Zengwe CCM fanya haya

    Bora ya sitta kuliko chenge ,apewe sitta kwani akipewa chenge (FISADI PAPA)atakipelekea ccm kuwa chama cha walipiza kisasi.
  15. Ulimate4

    Vikosi hivi itakuwaje bunge lijalo??

    Dr.slaa kuingia bungeni kwa sasa labda avalie kama masister ,bila ivo 4get it.
  16. Ulimate4

    Jiulize kama una akili timamu

    Huhuhuuuu kidumu chama cha mapinduzi. Waliopigia ccm kura wote wana akili timamu sijui ww.?
  17. Ulimate4

    Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

    Hapo umenena ,lakini usisahau ATM kadi yako .
  18. Ulimate4

    naomba ushauri wenu wadau

    Atayasababisha hayo mayai yawe viza,kama ni wa kiume bas atakua anaupungufu fulafulani. Kama wakike huyo ananifaaaaaaa,nileteeni nimmmbust
  19. Ulimate4

    Elections 2010 Barua ya wazi kwa wana JF na Watanzania wote.

    Usipime democrasia kwa ncha ya kidole kaka,kama wanavyodai watu waliosoma tanzania nzima 25% ,we kubali kuwa ni rahisi kuwatala wajinga ,kwani wengi wa watanzania bado wapo usingizini ,iko siku utajua kuwa tanzania hakuna hiyo demo.crasia.
  20. Ulimate4

    UKIMWI

    Mna dawa maalum ya kutibu ukimwi?
Back
Top Bottom