Search results

  1. Gwaje

    Natafuta wadau tushirikiane katika kilimo na ufugaji

    Ndg tunaweza kulima mazao 2 papai au tangawizi ndio mazao yasiyo na pressure lakini soko ni kubwa. Usiogope tunaweza weka makubaliano sawa tukafanyakazi pamoja
  2. Gwaje

    Natafuta wadau tushirikiane katika kilimo na ufugaji

    Kuna uwezekano wa kugawana kwa usawa maana biashara ya jumla itakuwa mifugo au mazao tu. Lengo nataka kupata operation fund baada ya kufanya na wadau kwa muda flani
  3. Gwaje

    Kukata rufaa kazini: Naomba kujuzwa namna ya kukata rufaa ya kufukuzwa kazi serikalini

    Maamuzi au mapendekezo ya tume iliyokuwa na watu 2 sikuwahi kuyaona. Je nilipaswa kujua mapendekezo yake?
  4. Gwaje

    Kukata rufaa kazini: Naomba kujuzwa namna ya kukata rufaa ya kufukuzwa kazi serikalini

    Nilifunguliwa mashitaka ya kinidhamu mwaka mmoja baada ya kosa yaani makosa October 2010, tuhuma November 2011 Nikajibu tuhuma ndani ya muda. Tume iliundwa miaka 5 baadae ndio nikafukuzwa kazi. Yaani April 2016 nikaomba kurudishwa kazini ndio tume ikaundwa julai 2016 nikafukuzwa. Naishi...
  5. Gwaje

    Natafuta wadau tushirikiane katika kilimo na ufugaji

    Habari wadau, Ninashamba la ukubwa wa ekari 10 lenye rutuba nzuri na yakutosha linalofaa kwa mazao kama nyanya, vitunguu, mahindi, matikiti, mapapai, machungwa na migomba. Shamba lipo kilosa morogoro. Shamba liko 5km kutoka barabara ya kilosa dumila ambayo inalami na shambani panafikika mwaka...
  6. Gwaje

    Kukata rufaa kazini: Naomba kujuzwa namna ya kukata rufaa ya kufukuzwa kazi serikalini

    Nilikuwa mtumishi katika wizara. Nilifukuzwa kazi miaka 3 sasa naomba msaada wa namna ya kukata rufaa nirudi kazini.
  7. Gwaje

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii haiingii akilini aisee,Ina maana nchini kwenu mtu anaweza akaingia akajifanya Ni ombaomba kumbe Ni shushushu flani tu, katumwa na nchi yake Kisha akimaliza anasepa zake kiurahirahisi tu[emoji849]ajabu hiii!!
  8. Gwaje

    NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

    Ndg uliishalipwa fao lako au bado unahangaikia
  9. Gwaje

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Gari yangu aina ya Nissan pickup ina jam sana breki za mbele naomba msaada. Nimepiga msasa piston lakini bado zinajam Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Gwaje

    Msaada wa mawasiliano au ofisi za Westpoint Dar es Salaam

    Naomba msaada wa mawasiliano
  11. Gwaje

    Hatua za kufuata kumtoa mpangaji msumbufu wa kodi

    Naomba msaada wa njia sahihi ya kumtoa mpangaji ambaye Halipi kodi ya pango ya kila mwezi katika muda uliopangwa
  12. Gwaje

    Kutenganisha UDSM, Ardhi na Muhimbili ni kupeana ulaji. Matumizi mabaya ya kodi za watanzania

    Iwapo ni kweli mkoa unakuwa mkubwa na kuigawa, wilaya, majimbo, kata na vijiji je mbona nchi haigawanywi kuongeza ufanisi
  13. Gwaje

    Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    Unajua TZ dalali ni mwizi anataka kula hela kubwa kuliko. Kitu nauza 1M dalali atataka laki lakini yeye anaanza kukiuza tena kwa 2.5M hivyo anachukua 1.6M huu ni wizi. Nadhani itungwe sheria ambapo dalali awe link kati ya muuzaji na mnunuzi na baada ya biashara alipwe kamisheni kama madalali wa DSE
  14. Gwaje

    Kazi za shamba

    Natafuta kazi za shamba kama vile kulima, kupanda , kuweka mbolea na kupiga dawa za kuua wadudu.
Back
Top Bottom