Search results

  1. M'bang'ang'walu

    Nini kimeikumba Dar Express?

    Zama hizi ukijifanya mbishi eti hutaki kwenda na hali halisi inavyotaka lazima wende na maji. Kuna kampuni nyingine kubwa na ya muda mrefu ya HOOD hii nayo magari yake tia maji tia maji sana , hii nayo inakoelekea sio kuzuri kabisa
  2. M'bang'ang'walu

    Kondakta, na Dereva wasimulia mkasa wa mwanafunzi wa NIT kupigwa risasi

    Usikute tatizo ni huyo wa kuwachukulia hatua
  3. M'bang'ang'walu

    Kondakta, na Dereva wasimulia mkasa wa mwanafunzi wa NIT kupigwa risasi

    Polisi kama polisi wanatumwa tu ni sawa na kumuona mbwa juu ya mti lazima awe amepandishwa, Shida ni kwamba sijui huwa wanaamrishwa kufanya hivyo maana inavyoonyesha hata akili zao hawazitumii
  4. M'bang'ang'walu

    Kondakta, na Dereva wasimulia mkasa wa mwanafunzi wa NIT kupigwa risasi

    Upuuzi mtupu, eti kugharamia mazishi wao ndio wanaona faraja kwa wafiwa. Hivi ni wapi duniani mtu amefariki ikashindikana kuzikwa kwa sababu ya gharama?
  5. M'bang'ang'walu

    Mbunge mstaafu, Abdul Mteketa alia mtandaoni akiomba msaada wa matibabu kutoka kwa Rais Magufuli

    Tatizo ni kwamba kuna mtu sijui kwa kutaka sifa au ni huruma aliyonayo kwa watu maarufu huwa anawasaidia
  6. M'bang'ang'walu

    RC Makonda yupo ITV. Mada: Tathmini ya mwaka 2017 na mipango ya Serikali kwa Dar es Salaam kwa mwaka 2018

    Jamaa anadai yeye ni mcha mungu sana, sasa kwa haya madai yako huenda huyo mungu akawa ni shemeji yake
  7. M'bang'ang'walu

    Ukubwa wa engine ya Gari una uhusiano gani na consumption ya mafuta

    Mifumo ya mafuta ya hizi gari ni tofauti. Pia suzuki carry ziko tofauti, hata zenyewe pia matumizi ya mafuta ni tofauti pia. Labda ungeainisha ni carry ya mfumo upi
  8. M'bang'ang'walu

    Tuwe Serious Kidogo...

    Yaleyale ya hosteli ya udsm, utaambiwa mchochezi, ulitakiwa kupeleka taarifa kwa wahusika na si mtandaoni. Yaani hao wahusika hawaoni kabisaa, utadhani wao wanaishi Timor ya mashariki vile.
  9. M'bang'ang'walu

    Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

    C C M imeharibu baadhi ya watu nchii, hata vitu vidogovidogo wanataka bure! Dah
  10. M'bang'ang'walu

    Hofu imetanda CHADEMA tangu wanachama wake walivyohama

    Inaonyesha ni uvivu tu wa kufikiri au wa uelewa wako, unaposema uifanyie ni nchi maana yake ni kwamba hicho unachofanya lazima kikaguse maisha ya watu. Nchi ni watu. Pia jukumu la serikali yoyote ni kutoa huduma muhimu na kuweka mazingira mazuri kwa wananchi wake ili hayo unayosema maendeleo...
  11. M'bang'ang'walu

    Hofu imetanda CHADEMA tangu wanachama wake walivyohama

    Aliyewadanganya ccm kwamba chadema ikifa na ndio upinzani umekufa amewapatia sana, kuua upinzani kwa kuua vyama ni kujidanganya, Badala ya kuwafanyia wananchi mambo mema kwa kuwapa huduma bora za kijamii ili automaticaly upinzani ukose hoja yanatumika mamilioni kunua viongozi wa upinzani, hii...
  12. M'bang'ang'walu

    Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Kitu fedha achana nayo kabisa, Ukizingatia na ubinafsi ulio ktk mioyo ya binadamu ndio kabisaa. Fedha inanunua kila kitu inatofautiana tu na kiwango na mtu na mtu au kitu na kitu, shabaha kuu ya mtu yeyote ni kupata fedha. Hata hao wanaonunua watu nia yao ni kupata fedha, hii mbinu mbaya sana...
  13. M'bang'ang'walu

    Viwanja vya Makonda vimeishia wapi?

    Wale ndugu zetu waliopoteza baadhi ya viungo vya mwili pia waliahidiwa kupatiwa viungo vya bandia nao vipi?
  14. M'bang'ang'walu

    Yanayo endelea kwenye siasa za hapa nchini nimepigia mstari hakuna mwenye uchungu na kodi zetu.!

    Mkuu hapa tatizo wala si afya ya akili, fikiria mbunge pamoja na maslahi yote anayopata anaammu kuacha nafasi yake bila kujali gharama, muda na pengine hata maumivu kwa baadhi ya watu eti kwa kumuunga mkono raisi. Maamuzi haya hata asiye na akili kabisa hawezi kuwa nayo. Hapa kuna namna...
  15. M'bang'ang'walu

    CHADEMA wameifikisha hapa nchi

    Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi, L/QUOTE] Kwa kauli yako hii inaonyesha unajua ni nani mwenye mamlaka ya kuwadhibiti hao watu, jiulize kwa nini hakuna kinachofanyika dhidi yao, Wahusika hawana ufahamu kama wako au...
  16. M'bang'ang'walu

    Je, Serikali imejiridhisha na Huduma za matibabu wanazotoa katika meli ya wachina? Tusije wadhuru watanzania maskini

    Kama serikali iliruhusu watu wakapate kikombe kwa babu wa loriondo bila utafiti wowote kwenye dawa iliyotumika sembuse hizi zilizokuja kwa meli? Wenyewe wanaona wamefanya jambo la maana sana kube wanaudhihirishia umma kwamba huduma za afya nchini si nzuri kutokana na umati wa watu watakoa...
  17. M'bang'ang'walu

    Huduma za Afya Nchini ni Mbovu. Ushahidi ni Mlundikano Meli ya Wachina

    Uko sahihi mkuu, kwani tumeona hata katika kile kipindi cha babu wa loriondo jinsi watu walivyojitokeza kwa wingi kwenda kupata tiba. Watu walitolewa mpaka mahospitalini wakapelekwa kwa babu. Nchi yetu huduma za jamii ni bora huduma tu lakini si huduma bora. Viongozi kwa kutokujielewa wanaona...
  18. M'bang'ang'walu

    Ni sawa kununua gari ya TZS 15 Million huku ukiwa unaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule?

    Mkuu hakuna kitu rahisi kama kujenga nyumba kuliko hata kununua gari hata ya milioni 3 tu. inatakiwa tu uwe na nia ya dhati na kipato endelevu hata kama si kikubwa sana. Nyumba inajengwa kidogokidogo, tofauti na gari, labda ulipate kwa mkopo, kuna watu wamejenga wakati hawajawahi kumiliki hata...
  19. M'bang'ang'walu

    Namna ya kuwahudumia wageni wako ili wasihamie nyumbani kwako jumla na ukashindwa kuwafukuza

    Swadakta. Kuna watu wanaishi peke yao. Yaani mtu yuko yeye na tumbo lake tu lakini maisha yanamuonea balaa. Na kuna wengine wanaishi na familia kubwa na pia majukumu mengine makubwa tu, lakini maisha ni mazuri tu
  20. M'bang'ang'walu

    Shida ya maji mjini morogoro

    Hili la upungufu wa maji hata kama lipo lakini si kwa kiasi kikubwa, kwani hata kipindi maji yapo mengi tu lakini tatizo bado lipo. Tatizo mamlaka imeamua kufanya biashara na si kutoa huduma, maji ya kuwauzia wenye magari wanayo lakini ya kusambaza kwa wananchi hawana.
Back
Top Bottom