Search results

  1. chitalula

    DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Leo ni siku ya pili tangu kuanza kwa mgomo wa madereva. nimepita maeneo ya Mbezi, Kimara hakuna daladala kabisa, watu wanasafiri kwa kupanda canter na bajaji. Stand ya mkoa bado hakueleweki abiria wanaonekana kuwa wachache sana. Tofauti na siku ya jana. ====== UPDATES: - Mabasi yamepaki na...
  2. chitalula

    Pinda akana kuhusishwa na kuingizwa kwa sukari kutoka nje

    Pinda akana kuhusishwa na kuingizwa kwa Sukari toka nje - Ajitetea huko kwao Mpanda. - Asema yeye hana uhusiano wowote na Masaburi. - Asema uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi. - Asema yeye hana tabia ya kulia lia ni hao wapinzani wake ktk mbio za urais. Chanzo: ITV habari Mytake: Hivi huyu...
  3. chitalula

    TAHLISO yaigomea CCM kwa UKAWA

    JUMUIYA ya Taasisi ya Elimu ya Juu Tanzania (Tahliso), imegomea mkakati wa kutumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kutoa matamko ya kuvishambulia vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Tanzania Daima Jumatano limedokezwa kuwa baada ya mpango huo kukwama, makada wa...
  4. chitalula

    The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

    Kwa wale wapenzi wa series za kijasusi,siasa za kimafia, ugaidi na upelelezi wakae mkao wa kula. Huku tukiendelea kuisubiria homeland na kuendelea kuangalia series kali ya Arrow na sasa tukae tayari kuipata 24 Live another day, baada ya kusubiria kwa kipindi kirefu sana hatimaye 24 Live...
  5. chitalula

    Hamadi Rashid; Nitagombea uraisi 2015

    Dodoma. Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed amesema anapanga kujitosa kwenye kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu mwakani. Akizungumza katika mahojiano maalumu hivi karibuni mjini Dodoma, Hamad Rashid alisema: “Kama Mwenyezi Mungu akinijalia uhai na uzima mwakani, ninatarajia...
  6. chitalula

    Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

    WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea na kikao chake jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, amekacha. Zitto ambaye katika siku za hivi karibuni aliibua mjadala kwenye vyombo vya habari, hasa alipoingia kwenye malumbano na Mbunge wa Arusha...
  7. chitalula

    Ng'ombe wapigwa risasi na maaskari mbuga ya Mikumi

    picha hizi zikionyesha ng'ombe wa wafugaji wakiwa wamepigwa risasi na maaskari wa wanyama pori katika mbuga ya mikumi Baadhi ya ng'ombe walifariki baada ya muda kidogo kupita kutokana na majeraha hayo My Take; Sijapata sababu hasa ya kwa nini maaskari hao wamechukua hatua hiyo ila hata kama...
  8. chitalula

    CHADEMA wataka uchaguzi wa wabunge Afrika Mashariki usitishwe

    chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimeandika barua kumtaka spika wa bunge kusitisha mchakato wa kupiga kura kwa kuchagua wabunge wa afrika mashariki. chadema kimemtaka spika wa bunge kuitisha kikao cha kamati ya marekebisho ya kanuni ili kubadilishwa kaanuni hizo zilizopitwa na wakati...
Back
Top Bottom