Hapana, si kweli.
Kwa sasa ndio wanaangalia angalia njia za kupata mapato, wanataka kuanzisha WhatsApp kwa makampuni na mashirika. Kwa sasa wamekuwa wanatumia pesa za Facebook.
Ni kweli kabisa, kuna malengo ya kutoa huduma za kibiashara kwa makampuni kupitia app ya WhatsApp...ila kwa sasa hivi hakuna mapato yanayotengenezwa na watu kutumia app ya WhatsApp.
Soma uchambuzi mzima kuhusu hili kupitia Teknokona - WhatsApp haina chanzo cha kuingiza Pesa mpaka sasa #Uchambuzi
Natafuta nyumba ya kupanga, Maeneo - Kijitonyama, Kurasini, Mbezi Beach, Tankibovu, Mikocheni, na Msasani
Sifa,
Chumba - 1 au 2, Sebule, Parking
Bajeti - Laki 2 hadi 2.5.
Sidhani kama umesoma hizo top trusted sources... Suala la Samsung na teknolojia ya 5G LIPO MUDA MREFU TUU... KAma utaki kukubali inshalah... role yangu kuinform,ukichagua IGNORANCE ata baada ya kupewa facts hiyo ni juu yako tuu. 👍🏿
Mkwawa huyu hayupo sahihi ila ameng'ang'ania coz ataki kukubali kutokujua kitu. Samsung n zaidi ya watengenezaji simu, wanakitengo cha R&D...teknolojia ya 5G tayari wanayo, ikiwa rasmi wataiuza na hapo ndipo mitandao ya simu inanunua na kuitumia. Mitandao ya simu yetu hii haifanyi lolote katika...
Sikutaka mabishano, tunaongelea 5G TECHNOLOGY... Soma zaidi hapa kuhusu technology ya 5G na role ambayo Samsung wanaplay... http://www.pcworld.com/article/2834072/samsung-claims-data-speed-test-30-times-faster-than-lte.html note: 30 times faster than LTE....
Kaka kuuza simu ni moja ya department kubwa ya Samsung. Makampuni yote makubwa yanafanya Research n development ktk teknolojia. Na hili ni la kweli. Korea Kusini, makao makuu ya Samsung ni moja ya nchi yenye kasi kubwa kabisa ya internet...
1G ni simu za kizazi cha kwanza kabisa katika teknolojia ya mawasiliano katika mfumo wa bila waya (wireless). Wakati huu ndio simu za mkononi (zikiwa kubwa kwelikweli enzi hizo) zilianza kutengenezwa na kununuliwa. Hii ilikuwa katika miaka ya 1980, na moja ya simu maarufu enzi hizo kuanza ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.