Search results

  1. melchior

    Anatafutwa Operator wa Excavator

    Anatafutwa operator wa excavator mwana mke mwenye uzoefu na sharp kwenye kazi Anatafutwa pia project manager mwana mke mwenye uzoefu wa kufanya miradi ya mining Eneo la kazi; Kilwa WhatsApp 0766925042
  2. melchior

    Mwalimu wa programming kwa watoto miaka 9 na kuendelea

    Natafuta mwalimu wa kufundisha programming mwenye uwezi wa kufundusha watoto wa kuanzia miaka 9 na kuendelea
  3. melchior

    Natafuta pharmaceutical Dispensers

    Nafungua Pharmacy, afrika sana. Natafuta pharmaceutical dispensers wawili walio sajiliwa. Akipatikana anaye ishi maeneo ya Sinza, mwenge, kijitonyama ama ubungo itapendeza zaidi. Kama ujuzi huo, ama una ndugu jamaa na rafiki mwenye hiyo fani nicheki kwa 0766925042 Sent using Jamii Forums...
  4. melchior

    Natafuta mfamasia kwaajili ya kusupervise pharmacy

    Natafuta mfamasia kwaajiri ya ku supervise pharmacy inayo tegemea kufunguliwa Afrika sana , Dar es salaam. Mfamasia yeyote ambaye yupo interested please contact me through my cell; 0766925042 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. melchior

    Natafuta pharmasist

    Natarajia kufungua pharmacy DSM maeneo ya Afrika sana. Kama matakwa ya kisheria yanavyo taka niwe na msimamizi ambaye ni mfamasia , naleta kwenu tangazo hili la kumtafuta mfamasia ambaye ninaweza kutumia cheti chake Muhimu awe na permanent registration na council Retainer fees offer 1m per...
  6. melchior

    Natafuta Mtaalam wa kilimo cha mboga mboga na ufugaji

    Kuna shamba kama eka 4 Madale Dar es salaam, nafanya kilimo cha mboga mboga na ninatarajia kuanza ufugaji wa kuku wa kisasa. Kuna Banda la kuku, Nyumba za kuishi wafanyakazi, Kisima kirefu na umeme. Kama robo eka ina drip lines, na kuna wafanyakazi kama watano Natafuta Mtaalam wa kuwasimamia...
  7. melchior

    Natafuta fundi wa; 1997 Ford F350 7.3 V8

    Habari wana Jukwaa, Natafuta fundi mzuri wa gari tajwa hapo juu. Ni gari la kazi, Mwanzoni liliua mechanical fuel pump tukawa tunatumia ya umeme. Nikanunua mechanical pump nyingine lakini ikafa kwa sababu haikuwa ginuine. Ikabidi nitafute ya umeme ambayo inawasha gari lakini gari linakuwa na...
  8. melchior

    Mnaoongoza Halmashauri ya jiji la Dar es salaam mna tofauti gani na watanguliz wenu?

    Nilikuwa napita Sam nujoma road, nikapack kituo cha daladala na kuingia kibanda cha Mpesa , ile narudi kwenye gari nikakuta noah nyeupe imeliblock gari langu, ina watu kama 7 na askari wawili, Wakaniuliza kwanini nimepaki gari sehemu isiyo ruhusiwa, adrenaline ika shoot ukichanganya na njaa...
  9. melchior

    SAT(Scholastic Aptitude Test)

    Habari za asubuhi wana Jukwaa, Nina mdogo amemamliza F4 ndio anangoja majibu; Nilitaka afanye mitihani ya SAT(Scholastic Aptitude Test) . Naomba muongozo kwa yeyote anaye jua kituo cha kujiandikisha, gharama kwa hapa bongo, na test centers. Pia naomba mwenye materials kwaajiri ya kujiandaa na...
  10. melchior

    Picha ya yanayo endelea ukawa-siasa sio uadui

    Kama leo mkristo anaweza kubadiri dini na kuwa muislamu na muislamu kuwa mkristo, tunashangaa nini mwanachama wa CDM anapo hamia CCM ama mwanachama wa CCM anapo hamia CDM?? Siasa sio kabila, ambalo mtu ukizaliwa mzaramo utakufa mzaramo tuu, au rangi amayo kama umezaliwa mweusi utakufa mweusi...
  11. melchior

    Je, Mafuta na gesi ndio muarobaini wa kutupeleka uchumi wa kati?

    Ukisikia mgombea anasema Gesi itatupeleka uchumi wa kati muogope kama ukoma. Resource pekee inayo weza kutupeleka uchumi wa kati ni watu. Ni uwekezaji katika watu, Japan haina gold, diamond, mafuta, gesi wala chuma. Lakini walifanya uwekezaji mkubwa kabisa katika watu na sasa ni super power na...
  12. melchior

    Leo USD imeshuka, 1 USD=2050 TSH

    Nasikia TSH imeimarika nimeambiwa exchange rate ya leo 1USD=2050TSH, kwani kale kamkopo ka dola mil 800 kamesha patikana? Wahenga walisema ukimwona kobe juu ya mti ujue kawekwa. Siamini kama kuimarika huku ni matokeo ya kuimarika kwa foreign export etc, all in all hongera sana BOT kwa...
  13. melchior

    Intelligensia juu ya Mabomu ya Arusha

    Let us think inside the box, outside the box and trash the box and think without a box as well. Inside the box CCM wamepanga njama ya kulipua bomu kwenye mkutano wa CHADEMA ili wananchi waogope kuhudhulia mikutano ya chadema. Tuhuma hizi zinakuzwa na maneno ya Mwigulu Nchemba ambaye katika...
  14. melchior

    Visa Free For Africans Travelling to Europe-

    PAIN – A new law passed recently in the Spanish Congress means visitors and tourists from Africawill no longer be required to have a visa for traveling to the 26 European Schengen Countries.The recent economic crisis moved Spain to make this decision, calling the move a "Residence...
  15. melchior

    Mining concession fees hike; is the timing right?

    Mining concession fees hike; is the timing right?Those in the mining and exploration sectors are deeply concerned about recent changes implemented by the Ministry of Energy and Mining (MEM). As expected, these changes just add frustration to an industry that has already been devastated by a...
  16. melchior

    President Kagame still my Hero

    Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame wa Rwanda kwa mtizamo wangu anaendelea kuwa Rais Bora barani Africa. Ni rais pekee africa anaye weka mbele maslahi ya nchi yake kuliko kitu chochote. Kutokana na...
  17. melchior

    Kwa wanaoanza maisha kagari " ideal" ka kuanzia hako(fuel efficient car)

    Daihatsu Terrios Kid 2001 Was being used by a woman in a to and fro job route(AICC to home Phillips); 2 trips AR-DSM The car is in an immaculate condition Fuel efficient(cc 650) Exellent servise history Great condition inside out AC, Stereo spare tyre real tyles New(YANA) Comprehensive...
  18. melchior

    Kwa wanaoanza maisha kagari " ideal" ka kuanzia maisha hako(fuel efficient car)

    Was being used by a woman in a to and fro job route(AICC to home at Phillips) The car is in an immaculate condition Fuel efficient car (cc650) Exellent servise history Great condition inside out AC, Stereo spare tyre real tyles New(YANA) Comprehensive insurance, paid in January 2014 Road...
Back
Top Bottom