Search results

  1. K

    X-mass tunasherehekea nini ?

    Je X-mass ni sherehe za kuzaliwa yesu kristo ? Nielewavyo gregorian calenda ilianza pale yesu alipozaliwa yaani tareh 01-januari - 01. Sasa ninapoambiwa tunasherehekea kuzaliwa yesu tar 25 -Dec, inachanganya kidogo.[au tarehe kamili ya kuzaliwa yesu haifahamiki ?] Wapendwa naomba msaada hapo na...
  2. K

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    mandela yupo juu bwana alikuwa sio mtu wa visasi, kama jk . uliza wenzake waliopigania uhuru na jk aliishia wapi eg kina kambona kina bibi titi na wengineo wengi. mandela aliwasamehe woote hata waliomfunga jela,
  3. K

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Wewe mtuma hii post u mshenzi, huo msikiti mdio msikiti wangu, mbona hizo harakati sijaziona au wewe ulitaka uone watu wakiswali na kuondoka bila ya vikao vya utendaji ? Kama unaona huelewi hama eneo hilo ,,,.......:..........................*¥
  4. K

    Uhamisho wa Watumishi toka TAMISEMI January 2013

    MAJINA YA WANAOHAMA YANAPATIKANA KTK TOVUTI HII........www.pmoral.go.tz
  5. K

    SITTA: Serikali tatu ni kujitafutia ulaji.

    SAMUEL SITA AMEJIANDAA KUGOMBEA URAIS WA TZ, SASA NYIE MWASEMA AGOMBEE URAIS WA TANGANYIKA ? mNATAKA KUMPUNGUZIA ULAJI MZEE ??????// TANGANYIKA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ?...........................................HOOOOOYEEEEEEEEEEEEEEEEEE, na UHURU................? KAZI YA TANU . TUNATAKA...
  6. K

    Bombing: Tanzania frees 3 Emiratis

    :A S 103::argue:ACHENI KUJIFANYA HAMJUI KINACHOENDELEA, PENGO KASHASEMA ANAWAFAHAMU WALIPUAJI KWA MUJIBU WA TAARIFA ALIZOPEWA NA WATU WAKE WA ITELEGENSIA. HIVYO SUBIRINI IPO SIKU ATAWATAJA HADHARANI,:whoo:
  7. K

    Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

    Bawata itakufa kifo cha asili muda si mrefu
  8. K

    Mganga wa kienyeji (Prof. Maji Marefu) akaimishwa Wizara ya Afya

    anataka wale wote ambao walipata dozi moja ya loliondo kwa babu kule samunge waende tena wakamilishe dozi ya pili haraka:mvutaji:
  9. K

    Arusha haikulengwa dini...

    ACHENI uchochezi, mwawezaliingiza taifa ktk janga kubwa, Waislam hawana shida na wakristo. acheni uchunguzi ukamilike ndo muongee. kwani yaweza bainika kuwa wakristo haohao ndo wahusika. uchunguzi wa awali umeonyesha muhusika ni mkiristo AMBROSE. NA ukifuatilia maelezo yote toka mwanzo unaona...
  10. K

    Lissu - Serikali kukaa kimya ni uchochezi mkubwa kifalsafa

    Na bado wanazidi kuipanda mbegu chafu kwa kuwakamata hawa raia wa SAUDIA yote hii nikutaka kunasibisha tukio hili na waislam. kwanini wasikamate wamarekani/israel nk
  11. K

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    ACHA UCHONGANISHI WEWE , nani kakwambia ilunga amesema wauliwe viongozi wa kidini wa tz. Ilunga alilenga yaliyotokea kule kenya baada ya muaji ya sheikh ROGO na alitoa maelekezo kwa mujibu wa quran
  12. K

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    FBI bado wapo nadhani tutapata mchoro mwingine wa kibonzo ukimuonyesha muhusika,.tuvute subira
  13. K

    UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    makafiri hawatakuwa na radhi nanyi hadi mfuate mila zao,. vyuo vyote vina udini
  14. K

    Mafanikio na mapungufu ya awamu ya 4 ya Rais Kikwete

    :attention::bange:AWAMU HII YA NNE WAMEJITAHIDI KWA MENGI NAORODHESHA TU BAADHI 1,JK ameweka mtandao wa barabara kwa nchi nzima 2.kajenga chuo kikuu cha dodoma 3 shule za sekondari ni nyingi mno kila kata 4ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo kasi 5.ujenzi wa daraja la kigamboni unaendelea...
  15. K

    Kauli ya Uamsho baada ya Polisi Zanzibar kumkamata mtuhumiwa aliyemuuwa Padri Evarist Mushi!

    :yo:tunapata mashaka kwa ni polisi wanasema kibonzo hicho walikichora kwa msaada wa watu waliokuwepo ktk tukio; lakini wakati ule ameuliwa walisema hapakuwa na watu' pia kama kuna watu ambao walikuwepo kulikuwa na haja gani kuagiza fbi ? pia wametangaza haraka haraka baada ya kiongozi mmoja wa...
  16. K

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    :rockon::rockon:HIYO NDIYO JEURI YA MFUMO KIRISTO BWANA, MIMI NILIFIKIRI MTAIAMBIA SERIKALI ISITISHE MIHELA MNAYOCHOTEWA KUPITIA ;MOU; ACHA JEURI MFUMO KIRISTO UPO NA TUTAMBAMBANA NAO HADI KIELEWEKE. KUHUSU UCHINJAJI MBONA MIAKA YOTE HAMJALISEMA HILO NA NI KIFUNGU GANI KTK BIBI LIA KINAAMRISHA...
  17. K

    Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Shekh Farid Hadi Ahmed akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakam

    :msela:umejuaje kuwa hajatekwa ? siku zote serikali haiwezi kukiri kuwa wamemteka. hata dr ulimboka alipotekwa serikali ilikana kumteka japo yeye anasema ni serikali imemteka.
  18. K

    Wakala wa kupinga sensa akamatwa Singida akigawa vipeperushi vya kugomea sensa kwa Waislam

    MALALAMIKO YA WAISLAM:- 1. Ofisi ya waziri mkuu imetoa kalenda zinazoonyesha wakiristo wapo wengi zaidi ya waislam. 2. Bodi ya utalii ktk tovuti yao wanasema tz ni nchi yenye wakiristo wengi zaidi ya waislam 3. TBC 1-siku ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru walikuwa wakitoa takwimu za idad ya wa tz...
  19. K

    Hati hati sensa kuahirishwa

    Kuna uwezekano mkubwa sensa huenda ikaahirishwa ili kujiandaa upya Kuweka kipengele cha ''DINI" KTk dodoso ili hatimaye tujuwe dini ipi yenye wafuasi wengi waislam/wakiristo. Waislam wameshaweka wazi kuwa hawatoshiriki sensa kufuatia serikali kupika takwimu za waislam huku wakijua hamna sensa...
Back
Top Bottom