Oa mwanamke anayemjua Mungu, anayethamini kusali si kwa mkumbo bali kwa kutoka moyoni mwake, hakikisha na wewe ni mtu wa ibada na nyote muwe kweli na hofu ya Mungu.
Kuoa ni kustaafu kujiangalia wewe, unaanza kuandaa waangalizi na warithi wako, haijalishi uliyemuoa mnaelewana au hamuelewani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.