Search results

  1. D

    Suleiman Bungala 'Bwege', Mbunge wangu bora!.

    Ngoja nimtolee povu kidogo mbunge wangu bwege binafsi siungi mkono hoja kuwa mbunge makini ni yule anaelialia kuulizia maendeleo ya jimbo lake wakati kila bunge la bajiti linapitisha pesa za maendeleo kwa kila jimbo Ndio maana huoni mawaziri wakitetea jimbo lakini maendeleo kwao...
  2. D

    CUF Mtaliwa wote, tafuteni suluhu! Shauri yenu!

    Tena nimekumbuka Maalim keshakichimbia kaburi CUF kwa kauli yake ya kuwapa matumaini wazanzibar kuwa KWA KUWA ALISHINDA 2015 basi muda si mrefu ataapishwa. Kama hatoapishwa hadi 2020, na ilivyo hatoapiswa....... manake wazanzibar watakuwa weshakatishwa tamaa na kupiga kura wengi watasusa...
  3. D

    CUF Mtaliwa wote, tafuteni suluhu! Shauri yenu!

    KAMA TUNAVYOJUA CUF YENYE NGUVU NI YA MAALIM. HATA LIPUMBA AFANYE NINI HAWEZI KUPUNGUZA NGUVU YA CUF ZANZIBAR. LIPUMBA ANAATHIRI NGUVU YA UPINZANI BARA KAMA KWELI WAPINZANI WANA NIA YA KUIONDOA CCM MADARAKANI 2020 MUHIMU NI 1. WAACHANE NA CUF NA LIPUMBA WAKE. 2. WAPINZANI WAANZISHE...
  4. D

    Kukaa kimya kwa serikali kwenye zinaa ni sawa na serikali kuruhusu zinaa na kukataza ndoa

    Huu ni uchambuzi wangu binafsi unaotokana na mkusanyiko wa ripoti toka tamwa, haki elimu na wizara ya afya. Na hautokani na MTU yyt mwingine.
  5. D

    Kukaa kimya kwa serikali kwenye zinaa ni sawa na serikali kuruhusu zinaa na kukataza ndoa

    SERIKALI INAKATAZA NDOA KWA WANAFUNZI WAKATI WANAFUNZI WAKIENDELEA ZA ZINAA NI SAWA NA KUSEMA SERIKALI INAPIGANA NA HAKI TU NA KURUHUSU UCHAFU UENEE NANI VITA KATI YA HAKI NA BATILI. KUKAA KIMYA KWA SERIKALI KWENYE ZINAA NI SAWA NA SERIKALI INARUHUSU ZINAA NA KUKATAZA NDOA. KWENYE RIPOTI...
  6. D

    Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

    Ilishazoeleka kwa Tanzania likitokea tendo la kugaidi basi waliofanya uovu huo ni waislam Ndio maana hadi leo jamii ya kiislam inanyanyasika kwa kufunguliwa kesi za kigaidi ambazo hazina ushahidi. MF kule Arusha kulitokea shambulizi la kigaidi ktk mkutano ambapo kiongizi wa Vatican alikuwepo...
  7. D

    Wizara ya Nishati & Madini: Kampuni ya Dangote itapewa Kilomita za mraba 9.98 kuchimba Makaa ya Mawe

    Naona kama muhongo na mipango ndio waliochangia sana hapo juu Kwa kutumia ID fake. Mtakumbuka mawaziri Hawa miezi mitatu iliyopita waliupotosha umma kuwa dangote anataka gesi ya bure toka tanesco, n kuwa dangote anaagiza makaa ya mawe nje ya nchi wakati hapa kwetu yapo mazuri na Kwa gharama...
  8. D

    Vetting ya viongozi sasa inatia mashaka!

    Kugushi ni ugonjwa wa kuambukiza. Utashangaa wanasema watumishi wanapochaguliwa wanaangia elimu yao, lkn kwa miaka zaidi ya 30 tz ilikuwa ni nchi iliyo 3 bora kwa umasikini. Sasa utajiuliza kama sio walioajiriwa ni feki kwann nchi haikuweza kupiga hatua
  9. D

    Nchi zilizostaarabika, DPP angefukuzwa issue ya Lema

    VIONGOZI WA UAMSHO ni case study ingine.
  10. D

    Nifanyeje kuondoa adha ya kukabwa na wachawi?

    Ndugu ktk Bwana. Napenda nikupe dondoo ya jinsi ya kuondoka na tatizo hili ingawa naweza kutofautiana na wengine. Umesema tatizo unalo kwa wiki mbili sasa. Tatizo ulilinalo laweza kuwa linatokana na mfumo wa uvutaji hewa sio Nzuri au una ugonjwa wa wasiwasi. Ni kawaida Ubongo ukikosa oxygen...
  11. D

    CHADEMA watoa tamko kuhusu madawa ya kulevya.

    Pamoja na maelezo yako marefu lkn tume ya mwakyembe kaikuwa na ushahidi bali walikuwa na mashaka juu ya taratibu zilizotumika. Na kama ushahidi ungekuwapo lowasa angekuwa wa kwanza kushitaji mahakama ya mafisadi. Kashfa ni kashfa na makonda karusha jiwe, mbowe hakupaswa kuguna. Mwenyekiti wetu...
  12. D

    CHADEMA watoa tamko kuhusu madawa ya kulevya.

    Mbowe anasema na ninanukuu “Tuache habari ya kuitwa, wewe umepata tuhuma, hujafanya uchunguzi, hakuna mtu aliye juu ya sheria, lakini unatakiwa kufanya uchunguzi ili ukimkamata mtu unamshtaki, siyo unataja mtu unachafua hadhi yake. Halafu ukija kusema hatuna ushahidi juu yako umeshaharibu jina...
  13. D

    Haya ndio Mashirika ya serikali yanayoendelea kuwepo bila kuwa na tija

    Je wajua kuwa kuna mashirika/makampuni tanzu ya Serikali ambayo ni kama yamesahauliwa? Basi tuwakumbushe Serikali pamoja na wawakilishi wetu ili kama yatakumbukwa naamini yaweza kuleta tija. Nianze na haya mawili Hotel Embasssy kwasasa inakaliwa na homeless RTC ni regional trading...
  14. D

    Mhe. Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad Wafanya Mazungumzo kuhusu Mwenendo wa CUF

    Suluhu hapa ni kuanzishwa kwa chama kimoja kikuu cha upinzani kitaxhojulikana kama ukawa
  15. D

    Shehe Khalifa jibu maswali haya

    Siwezi kuunga mkono hoja inayotokana na mnafik KHALIFA KHAMIS hata kama yupo sahihi. KHALIFA ana alama zote zinazofaa yeye kuitwa mnafik. Khalifa anatafuta Kiki kw kuchukua Akili wa waislam ambao si wanaccm. msishangae Khalifa huyo huyo kesho akaja kuyakanusha yote aliyoyatamka kwa kuwa haya...
  16. D

    Shamba la mitiki linauzwa

    Shamba bado lipo au ni wapi nitapata magogo ya mitiki
  17. D

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu ataka kampeni kutokomeza tezi dume

    Ni magonjwa mawili tofauti lkn yana dalili zinazofanana. Lkn pia tukumbuke si wote wanaopata shida ya maumivu wakati wa haja ndogo ni tezi dume. Maumivu wakati wa kutoa haja ndogo pia yaweza ikawa ni UTI. Wako watu wanaokunywa dawa kwa ajili ya UTI na wasipone wakadhani wanatezi dume. Laa...
  18. D

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Inbox namba yako tutafutane
  19. D

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Ukidhani unachofikiri uko peke ako Sahau. Mi nilitaka kuintroduce trackr sticker ambayo kuna manajamii kaitaja. Ndio mambo ya fursa Nina supply Trackr Bravo, Trackr stickers etc. Ukishanunua kwa 50,000 hakuna malipo ya ziada. Unaweza kuunganisha kwenye school bag ya mwanao ukajua wapi alipo...
  20. D

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Nitafute inbox gharama ni 50,000 tu
Back
Top Bottom