Haya ndio Mashirika ya serikali yanayoendelea kuwepo bila kuwa na tija

dostum

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
215
110
Je wajua kuwa kuna mashirika/makampuni tanzu ya Serikali ambayo ni kama yamesahauliwa?

Basi tuwakumbushe Serikali pamoja na wawakilishi wetu ili kama yatakumbukwa naamini yaweza kuleta tija.

Nianze na haya mawili

Hotel Embasssy kwasasa inakaliwa na homeless

RTC ni regional trading coorporation. Hii ni shirika bado lipo lina wafanyakazi wanatumalizia kodi zetu kwa makusanyo wanayoyapata toka kwa rasilimali majengo waliyonayo

Tuyajadili haya na mengine ili Serikali ya wawamu ya 5 ichukue hatua.
 
Back
Top Bottom