Kulikuwa na ulazima gani wa kuunda tume kama tayari mlikuwa na majibu?
Mliounda tume kwa minajili ya kutafuta jukwaa la kutukana wazee?
Hivi ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya makamu Rais walitoa maoni ya dhati au ya kisanii?
Je maoni yalitolewa kama chambo cha kutafutia sababu ya kumtukana...
UTANGULIZI
Wahemga walinena, Mficha maradhi kifo humuumbua…Kuendelea Kujaza Maji kwenye ndoo iliyotoboka huku ukifahamua kuwa hayatajaa ni ujinga. Mungu ametupa akili na ufahamu, na hii ndiyo tofauti ya msingi kati ya sisi binadamu na viumbe hai vingine, kama wanyama na miti. Binadamu...
Na.Robert Victor Lengeju
Mambo hayaendi, matariri wanafurahi, masikini wanateseka. Wenye haki wanafungwa wahalifu wanasherekea mwaka mpya wa mafanikio.Wale tuliowapa silaha za kutulinda wamegeuka na kutumia silaha zetu kutudhuru sisi wenyewe. Hakuna wa kumkemea mwezie kwasababu kila mmoja...
Na. Robert Victor Lengeju
Morogoro.
Ni masuala mtambuka kwa ubaya wake na ambayo yasipokemewa kwa uzito unaofaa, yanaweza kutumika kama mtaji wa watu hasa kila unapokaribia uchaguzi, huku ukiipasua Nchi yetu vipande vipande. Ni makala yenye kutoa elimu, lakini iliobeba karipio la dhahiri, kwa...
The Flame of Democracy
MWALE WA DEMOKRASIA: Ndani ya Raia Tanzania
Na. Robert Victor Lengeju
Mwale wa Demokrasia ni Jukwaa Maalumu katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), linazoletwa kwenu na Mchambuzi na Rafiki yako, Rai wa Tanzania, Robert Victor Lengeju.Jina la jukwaa...
Na. Robert Victor Lengeju.
DONDOO
1. Busara ya Ukimya: kufikiri kabla ya kusema na kuchagua cha kusema
2. Toba, Msamaha, Upatanisho na Maridhiano
3. Kamati ya wazee wenye hekima, wasio na upande wala ushabiki na upande
4. Wasivuliwe uwanachama, lakini wasijereshwe kwenye...
Mwanamageuzi wa kweli,
Mwanaharakati mahiri
Mwanazuoni uliyebobea!
Umekufa kazini,
Ukisimamia mabadiliko yakini.
Umeondoka wakati ambapo mchango wako bado unahitajika sana.
Binafsi siko tayari kukubali kwamba umetutoka.
Najua kifo ni mepenzi ya Mola
Lakini kwa wewe wamekuwahisha sana...
I am doing my Bachelor of Law Research and my Title is "ACCESSIBILITY OF HEALTH SERVICES IN TANZANIA: ENFORCEABILITY OF FREE AND QUALITY MATERNAL HEALTH CAR. A CASE OF MVOMERO DISTRICT MOROGORO, TANZANIA.
I am currently making an account of the available laws. Would any one plz assist me, of...
Na. Robert Victor Lengeju
Naandika Makala haya nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Kwamba yumkini tumaini langu, na la watanzania wengine la kuiona nchi Tanzania ikikomaa kidemokrasia na kuingia karne ya mabadiliko linayeyuka kwa mara nyingine tena. Tumaini limefifia, hakuna tena tegemeo. Kwa...
Wanakitukuza kiswahili majukwaani,
Wanakipigia chapuo vikaoni,
Wakitumia siasani, kura wanapata,
Watatunga sera na Kanuni,
Kiswahili Lugha ya Taifa.
Wanalazimisha mfumo, kifundiswe toka chekecheani,
Nachingwea, Biharamlo, Nyandira, Ngarenanyiki, Malangali,
shule za kata zote Kiswahili...
Wamejisahau sana hawa... Bado wanaishi katika ulimwengu wa chama kushika hatamu...wanalewa divai ya ukada mpaka kwenye nyumba za ibada!.. Wanasahau kuwa ulevi nooma!! Haya tuliyajua muda mrefu, tulikuwa tunakosa ushahidi tu... sasa yamejidhihirisha mchana kweupe, kulikuwa hakuna namna...
Uvamizi wa mataifa ya Ulaya na Marekan unaoendelea dhidi ya Mtaifa huru ya Africa. Walipokuja na ajenda ya kutufundisha utu. Wakaja na divai ya ustaarabu ndani ya kiriba cha utumwa/ukoloni. Na sasa wanakuja na divai ya Demokrasia ndani ya kiriba cha uvamizi. Bila aibu na mchana kweupe...
Suala la Luhanjo kutofautiana kimaamuzi na Boss wake
Ikumbukwe pia Ofisi ya Luhanjo ipo IKULU, si ajabu hata makazi ni hapohapo!
SIDE A.
1. Kama Luhanjo alifanya maamuzi bila kumjulisha Boss wake, hiyo inaitwa "Working around" na ni Dharau ya hali ya juu
2. Kama Luhanjo alikubaliana vingine...
Mwanzo tuliskia Bila miundombinu uchumi hauwezi kukua!
hilo likaambatana na Hakuna Taifa bila Elimu..
Kisha tukaambiwa Kilimo Kwanza!
Punde tu wakasema Umeme ni Janga la Taifa, tuache yote tupate umeme!
Hakujakucha, hili nalo likavuma Serikali isipodhibiti suala la mafuta mfumko wa...
Mwanzo tuliskia Bila miundo mbinu uchumi hauwezi kukua!
Hilo likaambatana na Hakuna naifa bila Elimu.. Kisha tukaambiwa Kilimo kwanza!
Punde tu wakasema Umeme ni Janga la Taifa, tuache yote tupate umeme!
Hakujakucha hili likavuma Serikali isipodhibiti suala la mafuta mfumko wa bei...
Aliandaa shamba kwa panga, fyekeo na jembe la mkono, akapanda bila mbolea kwakuwa viongozi wa serikali ya kijiji na mawakala wa pembejeo walichakachua mbolea ya ruzuku. Mvua haikunyesha pamoja na maombi ya mkesha msikitini na makanisani, mazao kidogo yaliyochomoza yalishambuliwa na...
on the final make up of the subjected article; Intending to showcase administrative decisive gape which posses an obvious output of Mheshimiwa Lowassa. Mnyonge mnyongeni..........Comming soon!<br>
on the final make up of the subjected article; Intending to showcase administrative decisive gape which posses an obvious output of Mheshimiwa Lowassa. Mnyonge mnyongeni..........Comming soon!
Nimetafuta sana 'Title' inayofaa,yenye uzito unaomstahili Ndugu Tundu Lisu (hapendi kuitwa mheshimiwa).Ashukuriwe Mungu wa Majeshi kwa kupatia zawadi hii.
Kinana amejipa moyo, kwamba pamoja na Tsunami ya mabadiliko ktk uchaguzi huu, bado CCM inaamini itabakiwa na asilimia zaidi 70 ya wabunge...
Hawa jamaa walikuwa watano tu, vipi vywa bunge viliwaka moto!
mwelekeo wa sasa waonyesha upo uwezekano wakafika 100 (including viti maalum)
Lakini hebu pata picha hawa jamaa wakiwa 50 tu, pale Bungeni, halafu itolewe hoja dhidi ya ufisadi na List ya walioomba kuchangia ni hii hapa
1.Zitto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.