Edward Ngoyai LOWASA: An administrative gape well felt!.........Comming soon!

LENGEJU BOB

Member
Nov 1, 2010
53
29
on the final make up of the subjected article; Intending to showcase administrative decisive gape which posses an obvious output of Mheshimiwa Lowassa. Mnyonge mnyongeni..........Comming soon!<br>
 
Tumeruka Mkojo tumekanyaga MA.... huyu wa sasa dahhh a big mistake kwa kweli. Lowasa hatufai lkn aliweza simama akasema kesho nataka hiki, kuanzia sasa sitaki...... Huyu jamaa yetu huyu mweee politiki tuuuuuu. sijui
 
majitu ya ccm yote hayafai, lakini huyu jamaa wa sasa ni galasa. hata kikwete mwenyewe anajua jamaa ni galasa ndo maana kamrejesha kwenye kiti.
 
Kila kiongozi anayo staili yake ya kuongoza. Ni kweli Mzee wa Monduli alikuwa hodari kwa maamuzi ya papo kwa papo ambayo mengine yalikuwa yanafaa na mengine ya kuwekewa alama ya kuuliza. Naamini pia kwamba kila kiongozi huangalia mazingira yalivyo kabla hajaamua kufanya maamuzi. Kwa maana hiyo basi wakati tunamsifu EL kwa ujasiri wake tukumbuke kwamba alifanya hivyo akijua kwamba mkubwa wake ni swahiba na huenda walipeana go ahead ya kufanya ama kuamua bila kutofautiana. Tukirudi nyuma, Sumaye aliweza kuamua na kutenda yale ambayo anajua kwamba mkubwa wake BWM atayaafiki bila hivyo asingeliweza kuamua ama kutenda. Vivyo hivyo kwa Warioba, Malecela na Msuya wakati wa Mzee Ruksa. Na vivyo hivyo kwa Kawawa, Msuya, Sokoine na Salim wakati wa kipindi cha Mwalimu. Ukiwa Waziri Mkuu naamini inabidi usome alama za nyakati na usome 'sura' ya boss wako itakavyokuwa ukitoa uamuzi ambao unaweza kuwa na utata. Kwa maana hiyo basi tujaribu kumhurumia incumbent PM labda kinachosababisha akashindwa kuchukua maamuzi 'magumu' bila go ahead ya boss ni hilo la kuogopa kutofautiana na boss wake.
 
Waziri mkuu siku zote unatakiwa uwe mtoa maamuzi siyo mlalamikaji. Pinda ni mlalamikaji na si vinginevyo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom