Search results

  1. aronstephy

    Bei ya luku ishuke, viwanda vifufuliwe, wananchi wapikie majiko ya umeme kuzuia uharibifu wa mazingira

    Kuna mwaka nilienda hapo kwa majirani zetu Zambia aisee wao umeme inaoneka cheap sana..Maana familia nyingi nilizo bahatika kutembelea wanatumia sana vifaa vya umeme..majiko ,mashine za kufulia na wana vifaa vingi mno vya kutumia umeme majumbani na wakati mwingine hata taa kuzima wanaona tabu...
  2. aronstephy

    Wanaoifahamu Zanzibar, hii mvua imewahi kutokea lini??

    Dar ilianza muda huo na mpaka sasa inanyesha ila haikuwa kubwa na bado sio kubwa,kumbe tunapata mabaki ya kutoka Visiwani.Ingekuwa kwa ukubwa huo nina hakika mafuriko yangekuwa makubwa zaidi ya juzi.
  3. aronstephy

    Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

    Kwani hili neno huwezi litumia kama ombi mbele zake na akasamehe.? Ni kweli ni agano la ulimwengu wote ila issue ni nani atakae kumbuka kukumbusha juu ya agano lake(na sio mafuriko yote yaliyofunika visiwa na miji mingi yalikuwa ni ya adhabu mengine ni man made na mengine hawakupatika watu...
  4. aronstephy

    Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

    Naanza kumuelewa mwalimu mmoja alienda kutembelea makumbusho ya yale mauaji ya 1994. Alisema Wahutu hawafurahishwi kwa maana hata miili mingi iliwekwa ni ya watutsi.. Akasema wale jamaa ni suala la muda tu wanaweza jikuta wanarudi kwenye mgogoro tena.. Ni wakati wa serikari kulitazama hili kwa...
  5. aronstephy

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia mauaji ya Aneth Msuya

    https://youtu.be/3N2zkWPTrFI?feature=shared Hii case kuna haja ya kutazama mambo kwa upana sana na tusiruhusi hisia pekee kuamua.Kuna mengi nyuma ya pazia yanaendelea
  6. aronstephy

    Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

    https://youtu.be/3N2zkWPTrFI?feature=shared Hii case kuna haja ya kutazama mambo kwa upana sana na tusiruhusi hisia pekee kuamua.Kuna mengi nyuma ya pazia yanaendelea.
  7. aronstephy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Confirmed.
  8. aronstephy

    Ng'ombe mwenye thamani ya IST

    anakula nusu pick up peke yake kwa siku.. kwa mwezi anaweza kuwa anakula almost laki 4 peke yake 😂
  9. aronstephy

    Ng'ombe mwenye thamani ya IST

    Kwa maelezo yake yanauzwa almost yote mengine anajiuzia mwenynyewe kwenye miradi mingine ya mbwa..Ng'ombe inakamuliwa mara tatu sio mchezo kwa huku nilipo bei ya lita ni 2000×60=120000 kwa siku kwa ng'ombe mmoja kwa mwezi unaongelea Tsh 3,600,000/= kwa mwaka unaongelea Tsh 43,200,000/= endapo...
  10. aronstephy

    Maxence Melo ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Ni wakati sahihi kwa Mkuu Max kujitokeza na kusema jambo au aweke mikakati mipya juu ya utumiaji wa huu . Afanye ajambo ambalo litawafanya watu walio ndani ya Mtandao wake kupata kuwa na amani na siri zao... Siku si nyingi hoja ngumu na zenye kuweka mambo wazi yaliyofichika ndani ya jamii na...
  11. aronstephy

    Najuta kuingalia video ya Joshua

    Kwa sasa mfumo wa soko ulivyo unaweza mkwepa vizuri tu kwa sababu kila anachozalisha kinaushindani sokoni kasoro bidhaa zao za media ..Ila za matumizi nyumbani nikuhakikishie kuna sehemu hata Dar bidhaa zake madukani hawajaweka.
  12. aronstephy

    TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Duh aisee hii ni hatari mno..Miaka 11 anapitia wakati mzito kama huu..kwa hakika uzalendo wa kweli ndani ya mioyo mingi ya watanzania umepoa sana.Mioyo imejaa visasi na uharibifu juu ya watawala.
  13. aronstephy

    TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Pole sana kwa hayo majeruhi uliyoyapata .Utakuwa sawa ila sumu inazidi kuwa kubwa ndani.
  14. aronstephy

    TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Asaiv wamerudisha natumaini umepata. Ila hakuna siku wamepata hasara(TANESCO) na wamesababisha hasara kubwa mno kwa wananchi(hadi huruma) kama leo.. Kuna haja kubwa mnoTANESCO wanatakiwa wajitafakari sana sana kwa upya .Hii hali ya leo kwa hakika imenitisha na imenihuzunisha kwa upana sana...
  15. aronstephy

    TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Hii Imeanza jana usiku. Sababu jana nilinunua mida ya saa tatu usiku na sikupata token..
  16. aronstephy

    Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

    Ukweli uliona uchungu ndani yake..Iko hivo kwa wengi sana.
  17. aronstephy

    Ombi Kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufuatilia kwa ukaribu Baraza la ardhi Sumbawanga

    Hii itakuwa suluhisho mno.Maana maauzi mengi ya kimahakama juu ya ardhi bado husubilia tena maamuzi ya baraza sehemu ambayo janja janja zimekuwa kubwa mno.
  18. aronstephy

    Airtel wanayajua mahitaji muhimu kwa binadamu kwa watu wa waliokumbwa na Maafa Hanang?

    MKUU hii nadhani inategemea na mkoa uliopo kuna mikoa wanafanya vizuri sana.Speed ni kubwa mno tena iliyona uhakika kuliko mitandao mingine.
  19. aronstephy

    Natafuta roommate nchi Marekani

    Uko sawa Mkuu, ndo mahala aliko kama yuko sahihi na taarifa alizozitoa.
Back
Top Bottom